wewe jamaa hivi unajielewa kweli
Habari za Annunak kule India zilitoka kwenye ukristo?
Habari za Annunak kule mexico na Meso America zimetoka kwenye ukristo?
Habari za Annunak kule Mali kwenye kabila la Dogon zimetoka kwenye ukristo?
Habari za Annunak kule Misri na Mesopotamia zimetoka kwenye ukristo?
Habari za Annunak kule Antarctica zimetoka kwenye ukristo?
Vipi habari za Annunak walizokuta kule Mwezini wanaanga na NASA zimetokana na ukristo?
Acha kua brain washed Kamanda inaonesha jinsi Gani ulivyo mtupu kichwani na hutaki kujifunza ila kuleta ubishani wa kijinga tu
Huo ukristo wa kina Constantine pale Nicea committee Constantinople Uturuki mwaka 100AD unafahamu Nini kuhusu Accient civilization za kale kama Sumerians,Assyrian,Babylon Egyptian, Kush, Aztec,Maya, Peru Indus valley, china, India na Dogon ?
Una masikhara wewe!
Hahaha, haujui history ya dini ya kikristo Mkuu. Ungeijua usingebisha. Roma imeitawara Israel, ugiriki imeitawara Israel, misiri imeitawara Israel, kushi, Ethiopia, wachina, India, America imehusika na shuguli za Israel. Unaijua contact ya kibiashara ya kipindi Cha Ibrahim Hadi Joseph mtoto wa yakobo anauzwa misiri???. Hao wafanyabiashara waliomnunua walikuwa wanatoka wapi na wanaenda wapi?. Roma ilipoitawara Israel ujue kulikuwa na contact baina ya America, ulaya na Asia katika maswala ya kibiashara. Mkuuu Mambo ni mengi ya kukueleza. By the way Mimi nimesomea history of the Earth from it's formation na ujio wa viumbe kuanzia mimea Hadi binadamu. Ukweri ni Kuwa viumbe vya kiroho vipo Hilo sipingi hata kwenye biblia Hilo swala kulikuwa kumuzo ndiyo Paulo katika barua kwa wakolosai alitoa jibu
Wakolosai 1:15-16
[15]naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Who is the image of the invisible God, the firstborn of every creature:
[16]Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
For by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:
Tambua pia ukuu wa binadamu ni mkubwa kuliko viumbe vya kiroho yaani malaika, hao pepo wote majini, alliens, annuanaki etc hivyo hayawezi kuhusika na kumuumba binadamu, original ya viumbe vya kiroho ndiyo original ya binadamu pia. Ote viumbe vilivyoumbwa. SoMo Hilo ni pana Sana. Soma waebrania sura ya 1na ya 2 yote pia utaona ukuu wa binadamu
Waebrania 2:5-6
[5]Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema,
For unto the angels hath he not put in subjection the world to come, whereof we speak.
[6]Mwanadamu ni nini hata umkumbuke,
Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?
But one in a certain place testified, saying, What is man, that thou art mindful of him? or the son of man, that thou visitest him?