Annur: Waliokamatwa na sheikh ponda wavuliwa nguo mahabusu

Annur: Waliokamatwa na sheikh ponda wavuliwa nguo mahabusu

Du! Sipati picha wakivuliwa nguo na kubong'oa ....kama juu ndevu kibao sijui huko chini itakuwaje!
 
Naamini hapo msikitini walikuwapo wenye upeo mkubwa wa kupambanua mambo, am sure walimsikiliza tu lakini walipuuzia, sio kweli kwamba askari wanaweza kufanya hivyo kwa misingi ya kidini, khs kudhalilishwa hilo halina dini ndani ya magereza au mahabusu limezoeleka na watu wapepiga sana kelele khs hilo, namuomba huyo bwana badala ya kulalamika kwa kuegemea udini atangaze tu kuwa hali ndani ya magereza yetu sio nzuri ili tuungane waislamu kwa wakristo kukemea hali hiyo na sio uchochezi kama anaofanya.
 
Kusoma samtime ni kuzuri, na wakati mwingine kama hujawahi kukaa jela ukipelekwa huko hakika utajuta kutenda kosa, kwanza kuvua nguo siku ya kwanza kwa ajili ya upekuzi ni kitu cha kawaida kabisa, wala hakimbagui mtu, uwe mwislam uwe mkristo, pia kama unakuwa sana mbishi watakupekua kila mahali kabla ya kuchanganyika na mahabusu wengine.

Lazima upekuliwe sana ndo utaratibu wa kuingia mahabusu, mfano kama umeficha kisu huko makalioni, bangi, unga, sigara, lazima upekuliwe.

Tabia yenu ni mbaya sana, yani kila muda hamkosi cha kulalamika?

Inawezekana wafungwa waliku 0712!
 
Si kuvuliwa tu nguo hata na tigo wangeigonga pambafu kabisa
 
Magereza kuna sheria zake hawaangalii dini yako! ukitaka kujua vizuri fanyeni kama alivyofanya huyo mfia dini. Je alipovuliwa nguo ali8kalishwa mbele ya watu... (wanawake,mahabusu wa kiume ) Badae alifanywa nini?
 
mtoa mada, ni mchochezi pamoja na gazeti lao, kwa kifupi , walioko mahabusu si waislamu ni wahalifu[wafuasi wa ponda] mhalifu huyo anataka kuendelea kuwa aaminisha waumini safi waliokuwa wanamsikiliza ili wajiunge nae kuwa wahalifu,ndugu zangu waumini wa uislamu dini yenu mkiifuatilia vzr kwa mafundisho sahihi ya mtume muhammad ,mtaishi na wafuasi wa dini zingine kwa amani. kabisa mwisho hata bendi ya muziki ya fm academia waliimba jela ni mbaya, na wakatoa salaam kwa wananchi wote kufuata sheria , na wala hawakusema waliofanyiwa gerezani kwa kuwa wao ni wakongo . nchi yetu sote mkristo ukiharibu utashughulikiwa ipasavyo , halikadhalika muislamu vilevile .askari magereza kama mlipunguza dozi ongezeni zaidi na zaidi mpaka jamii ijue jela si mchezo.
 
Back
Top Bottom