Kusoma samtime ni kuzuri, na wakati mwingine kama hujawahi kukaa jela ukipelekwa huko hakika utajuta kutenda kosa, kwanza kuvua nguo siku ya kwanza kwa ajili ya upekuzi ni kitu cha kawaida kabisa, wala hakimbagui mtu, uwe mwislam uwe mkristo, pia kama unakuwa sana mbishi watakupekua kila mahali kabla ya kuchanganyika na mahabusu wengine.
Lazima upekuliwe sana ndo utaratibu wa kuingia mahabusu, mfano kama umeficha kisu huko makalioni, bangi, unga, sigara, lazima upekuliwe.
Tabia yenu ni mbaya sana, yani kila muda hamkosi cha kulalamika?
Inawezekana wafungwa waliku 0712!