Another BossLady in the House, Hodiii

Wakati wa kuoa kila mwanaume hua na akili timamu.

Kuna type za wanawake kutegemeana na mahitaji ya mwanaume.

Kuolewa ni jambo tofauti na kuhitaji mwanamke wa kula nae bata, sasa ukiona PM yako inachangamkiwa usidhani wanataka kukuoa hapana, kama hujaolewa na uko vizuri kiumbo na sura automatically wanaume tunajua kwanini hujaolewa na kinachofuata ni kuja PM ukikubali tunamega na kuacha mkate kama tulivyokuta.
Siku hizi hakuna mwanaume anaangushiwa jumba bovu kirahisi.
 
Karibu

Sent from my TRENDY using JamiiForums mobile app
 


Haya karibu mpaka ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…