ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
HivyooooNani kakwambia huyo mgeni?? Mwenyeji kitambo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HivyooooNani kakwambia huyo mgeni?? Mwenyeji kitambo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ukifungua uzi unitagNgoja na mie nifugue uzi nibandike mapichapicha yangu. Mwanamke kujiamini bwana!!
Usijaliukifungua uzi unitag
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady🙂 comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!
Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.
Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.
Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.
Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
Na hizo picha uwe umeachia body kama bossladyNgoja na mie nifugue uzi nibandike mapichapicha yangu. Mwanamke kujiamini bwana!!
Just wait and seeNa hizo picha uwe umeachia body kama bosslady
Maneno matupu hayavunji mfupaJust wait and see
Subiri kipenzi, mambo mazuri hayahitaji harakaManeno matupu hayavunji mfupa
Sio ulete picha unapukuchua mahindiSubiri kipenzi, mambo mazuri hayahitaji haraka
Ha haaaa itakuwa ya kuchuma mbogaSio ulete picha unapukuchua mahindi