Another BossLady in the House, Hodiii

Me nina maswali mawili Hivi:

1. ukiwa na Multiple ID Admins wanajuaje? Wanaangalia IP Adress au?

2. pia ni kosa? maana naona Otieno kala ban.

(Kijaluo Otieno = Mwanaume aliezaliwa usiku)

Sent using Jamii Forums mobile app
IP address inaweza kuwa tofauti, lakini MAC address haibadiliki maana inatambulisha PC/Laptop/Simu kupitia Network Interface Card. Ndo maana yatupasa kutumia mtandao kwa busara maana hawa jamaa wanakusanya taarifa nyingi kutoka kwetu na vifaa tunavyotumia.

Ushauri kwa JF, kwanza waache kuonyesha aina ya vifaa(simu) ambazo member anatumia kupost na wasizihifadhi maana zinaweza kuwa-hacked. Pili isiwe dhambi mtu kuwa na multiple ids, ili mradi hatapeli basi hakuna shida, inasaidia kulinda cover ya mtu.
 
Uko vzr Bosslady naona ubora wa Mwenyezi Mungu katika uumbaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Werevu wengi hua tunatumia VPN

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!




Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id
Wahenga wa JF walishatabiri ujio wa Boss lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…