Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani nimestukaaaaa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimestukaaaaa!!!
[emoji41] [emoji23] [emoji23] [emoji23] KhaaaHusna weka picha unayo onekana clear bila miwani ili kuondoa doubts za kuwa ww ni mwanaume.
Hahahaaaaaa!! Nimeona hii quorte nikajua ni pm, walahi kidogo nitoke baru!!!
How are you mama, naona your back!!!
Missed you.
Yaani nimestukaaaaa!!!
Hahahaaaaaa!! Nimeona hii quorte nikajua ni pm, walahi kidogo nitoke baru!!!
How are you mama, naona your back!!!
Missed you.
Chezea kuitwa pm na heloo wewe!!!Eti nusura utoke baru...lol!
Samahani madam una namba zake??[emoji1]Hiyo picha ni mwanamke wa ki Lesotho.
Wajinga ndiyo waliwao.
Hahaaahahaha sasa hata hujajua nakuitia nini jamani? I know you. Njoo
Weweee uminichikishi kwiliiHahaha aisije kua jini kabula[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Haaa haaaaaa.Don't worry.Big mama knows how to handle things!Hahahaaaaaa!! Nimeona hii quote nikajua ni pm, walahi kidogo nitoke baru!!!
How are you mama, naona your back!!!
Missed you.
Haaaàaaaaa haaaaaa haaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Chezea kuitwa pm na heloo wewe!!!
Una kitovu kizuriiiHodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady🙂 comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!
Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.
Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.
Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.
Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.