Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Ebo!! Huyu dada aliyeweka picha zake page No 1 anafafana sana na house girl wangu aliyetoka na simu yangu. Nitampata wapi maana nina RB yake.
 
Hahaaahahaha sasa hata hujajua nakuitia nini jamani? I know you. Njoo

Nimetoka kuona ulipo sasa na umevaaaje... ha ha haaaaa

Kumbe ni wewe... na mimi unajua nakujua ha ha haaa

Story za abunuasi hizi, ngoja nicheke tu. JF burudani atiii wewe mpenda picha za Nyerere.
 
Hahahaaaaaa!! Nimeona hii quote nikajua ni pm, walahi kidogo nitoke baru!!!

How are you mama, naona your back!!!
Missed you.
Haaa haaaaaa.Don't worry.Big mama knows how to handle things!
 
Chezea kuitwa pm na heloo wewe!!!
Haaaàaaaaa haaaaaa haaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Boss Lady Vituko haviwezi kuisha mama account yako ina tirioni ngapi? Mpaka Magu anamaliza Mda wake kazi hipo
 
Si mchezo... Uzi unakaribia kudondoka kwa uzito....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf ina vituko sana
 
Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady🙂 comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!

Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.

Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.

Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.

Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
Una kitovu kizuriii
 
Back
Top Bottom