Hatuwezi kutoka EAC kwasababu
1)Tanzania ndio Moyo wa EAC, bila Tanzanian hakuna EAC, tutaendelea kudhibiti nchi yoyote ile ndani ya EAC inayotaka kujaribu kufanya jambo lolote bila kuishirikisha Tanzania, hadi sasa tumefanikiwa kuflustrate miradi yote iliyoanzishwa na Kenya bila kusikiliza mawazo ya Tanzania, mfano:
EPA
Single tourists visa
Uganda pipeline
Matumizi ya IDs
Kufungua borogojo entry point
2)Hatutoki kwasababu tunaelewana na nchi zote za EAC isipokua Kenya pekee
Ushauri wangu kwenu ni kwamba, kwasababu Kenya hamna option zaidi ya EAC, na kwasababu Tanzania hatutokubali mawazo yenu, kuweni wapole na kukubaliana na Tanzania, otherwise tutasimamisha development projects zote za EAC wakati sisi tunaendelea kufanya biashara huku SADC. Choice is yours.