[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]1) Tourists viza tulikataa, mkaianzisha kwa mbwembwe, kwasababu Tanzania haikushirili, zoezi limekufa kifo cha mende
2) EPA, Tanzania tulikataa, zoezi limeshindikana
3) Kenya mlihangaiki hadi mkashitaki katika vikao vya EAC ili tufungue Borogoja entry point, imeshindikana
4) CoW, tulijiweka pembeni imekufa hakuna nchi inataka kusikia huo ujinga
Bila Tanzania hakuna EAC, japo inauma lakini hamna namna.
Wewe huna akili kabisa, USA and China are the biggest economies in the world because of their GDP not GDP per capital, if you think of GDP per capital, then China is not ranked even 30th position world wide, you don't know how these indicators means, you are just a stubid Kunyan.
Now you are talking, that is if you look that side of the coin, but as per biggest economies, Tanzania is third biggest economy in SADC, actually out of 16 Countries including Mauritius, Tanzania is number three, hahahahahaha.Let me paraphrase.
Tanzania has the 5th poorest citizens in SADC.
Tanzania has the highest number of people living in extreme poverty in SADC.
WAKENYA wana pressure za kushushwa kiuchumi na tz, ndio maana maneno mengi kuizodoa tzHatuwezi kutoka EAC kwasababu
1)Tanzania ndio Moyo wa EAC, bila Tanzanian hakuna EAC, tutaendelea kudhibiti nchi yoyote ile ndani ya EAC inayotaka kujaribu kufanya jambo lolote bila kuishirikisha Tanzania, hadi sasa tumefanikiwa kuflustrate miradi yote iliyoanzishwa na Kenya bila kusikiliza mawazo ya Tanzania, mfano:
EPA
Single tourists visa
Uganda pipeline
Matumizi ya IDs
Kufungua borogojo entry point
2)Hatutoki kwasababu tunaelewana na nchi zote za EAC isipokua Kenya pekee
Ushauri wangu kwenu ni kwamba, kwasababu Kenya hamna option zaidi ya EAC, na kwasababu Tanzania hatutokubali mawazo yenu, kuweni wapole na kukubaliana na Tanzania, otherwise tutasimamisha development projects zote za EAC wakati sisi tunaendelea kufanya biashara huku SADC. Choice is yours.