Another motivating story from Nayce Moshi

Another motivating story from Nayce Moshi

Ukiwa strategic person basi mafanikio yataflow kwako kama maji ya mto yanavyoingia baharini yaani ni mwendo wa blessings mpaka unamuuliza Mungu why me!

Sasa Kuna dada zetu waliingia kazini miaka ya tisini ila mpaka siku ya leo bado wapo kwenye position zile zile yaani umri unazidi kwenda ila kazini kama alikuwa secretary enzi anaanza kazi mpaka leo ni secretary sasa nyie mna mengi ya kujifunza kutoka kwa Nayce kabla hamjageuzwa wafanya usafi baada ya kustaafu.

Nayce Moshi Juzijuzi alikuwa kondakta ila leo ni PR(public relation) wa Tilisho twende taratibu tutaelewena. Kama unafikiri ni jambo jepesi basi think twice.

Kila la kheri Nayce Moshi kwenye majukumu yako mapya


View attachment 2826006
You are talking as if umekatwa BICHWA
strategic???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I think anapaswa kupiga goti na kumshukuru MUNGU
coz...ni bongo tu ndo haya mambo huwa yanatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣sioni wa kusoma na kupafomu hapo
Uchumi wa Kati aka utelezi umehusika
Aboria kibao wa tilisho wanaume Wana namba zake,go figure,uvunguuh
 
Back
Top Bottom