Another motivating story from Nayce Moshi

Another motivating story from Nayce Moshi

Hiv kwamfano alipopata huo PR halaf akaamua tu kupiga kimya angepungukiwa kitu gani??? Amejieleeeeza all that what for?? Privacy is important in life!.
Watu hawawez kukipiga vita kitu wasichokijua
PR akae tena kimya, sasa atakuwa wa nini,,,,, kwa kifupi huyo ni msemaji wa TILISHO, anatakiwa auchape mdomo kweli kweli ila kwa nidhamu
 
Huyu mleta mada namwuliza hivi..[emoji116]

Kama siri ya kufanikiwa ni kuwa "strategic" Je Makondakta wengine wa kike hawakuwahi kuwa strategic persons?

Kwamba huyo Nayce Moshi ndio strategic person kuliko wanawake wote?
Ni kweli hawakuwa strategic waliichukulia kama kazi mbovu tu no marketing kujibrand kutangaza ofisi zao huduma mbovu kwa wateja ni mengi sasa huyu binti alionesha utofauti

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Tofauti kivipi unataka kusema filter zinambeba
Sikua na maana hiyo mkuu, nilikua naunga mkono hoja ya mjumbe hapo juu kuhusiana na muonekano wake anaonekana binti mdogo tofauti na kwenye picha......picha zinamuonyesha kama mtu mzima sana
 
Uzuri wake umesababisha mazuri kwake...

Akili kubwa imeelewa...
 
»Creativity matter the most hii inahitaji talent au darasa,binafsi nimeijua tilisho kupitia hii pisi kali tiktok.
 
Back
Top Bottom