Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ya huwa anasema ni kweli kuna mibaba inamsaka lkn akasema kutembea na mteja ni kumfukuzaPersonality yake na muonekano ndio imemkuza sana.
Watu wanafurahia uzuri wake na heshima yake katika kazi yake.
Ila kuna wanaume mafisi wako rada Kuna target wana aim...
Na yeye kashatambua hilo.