Another Oddity from Failed State Tanzania

Hehehe!! Yaani hawa kwa ujuha, hii itasambaa aki ya nani, shithole hehehe
Ila watani zetu,mnamambo!
Kipindi kile,Yule Mdada kutoka kwenu,kazuiwa kuingia bongo kuchukua U CEO wa Voda,mlipiga kelele mpaka mishipa ya shingo ikawasimama! Sasa kwanini hamuanzii hapo kwenu CEO wa KQ,Mzungu! CEO wa Airtel,Bob,alikuwa raia wa USA!hata aliyekuja badala yake ni Mzungu tu!
Nyie ni wepesi sana.makampuni mengi yaliyowekeza Kenya,ni kutoka Nje,sio yenu nyie weusi.Tofauti na SA,makampuni makubwa wanamiriki wazawa(wazungu).
Acheni mishuzi,jengeni nchi,nyie na sisi wala hatuchekani,
 
Achana na aerial view angalia hii video[emoji382] [emoji382] [emoji382]
Kisha na wewe niletee video ya Wanapokaa wananchi wa kawaida huko[emoji23][emoji23][emoji23]


Having seen the supposedly 'middle class' estates in Dar, our Umoja, Pipeline and other Eastlands estates look first world. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dar middle class
View attachment 1216433


Nairobi middle class
View attachment 1216434
 

Nyie ndio wanafiki hata kuwazidi wanaowatia watu viberiti kule South, yaani mnaabudu wazungu kupita maelezo, mlimkatalia dada wa kwetu kwa kigezo kwamba kuna Watanzania wengi wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo, ila hatimaye mkaishia kuajiri mzungu. Yaani hapo mnamchukia mweusi mwenzenu na kushoboke mzungu.

Huku kwetu hatujali aajiriwe mzungu, mweusi ilmradi anakidhi vigezo hatuwezi kuzuia.
 
Hatuna muda wa kuajiri criminal sisi,
Kwanini juzi kati hajapewa awe ceo wa SAf.
 
Hahahaa...Only In Danganyika.Kidogo utasikia Petrol Tanker imeanguka na Midanganyika Wanachota Petroli
 
Hehehe!! Yaani hawa kwa ujuha, hii itasambaa aki ya nani, shithole hehehe
Same way they direct untreated human waste from all over Dares Salaam into the Indian ocean. This supposedly "biggest city in east Africa" has only 20% proper sewer coverage.
 
Kasi ya ujenzi wa maelfu ya kilometres za lami kila kona ya nchi inawafanya makandarasi waone ujenzi wa barabara za lami ni jambo la kawaida
 
Hatuna muda wa kuajiri criminal sisi,
Kwanini juzi kati hajapewa awe ceo wa SAf.
Umesahau mliempa kazi badala ya Sylvia Mulinge(ambaye mlimteua nyinyi wenyewe) mlimkamata kwa 'fraud' hata kabla mwaka hujaisha? Meanwhile, Sylvia Mulinge alinyakuliwa tena na Safcom na hakurudi kwenye kazi yake ya hapo awali. Alipandishwa cheo na kitengo ambacho anaongoza ni zaidi ya mara tatu ya Vodacom. Mungu alimnurusu Sylvia, sio siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…