Watafuta nyumba ya Tsh 25000???~ksh 1000? For rent???????Unataka kusema hyo video ya tetema wamei shoot hapo...sasawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafuta nyumba ya Tsh 25000???~ksh 1000? For rent???????Unataka kusema hyo video ya tetema wamei shoot hapo...sasawa
Ndio ujue Tz life ni easy hauumizi kichwa kama kwenu huko.Watafuta nyumba ya Tsh 25000???~ksh 1000? For rent???????
Unajiaibisha.. hii ni fake, ata ukiangalia hiyo picha utagundua imetengenezwa, au kwakua jamaa anaitwa "Jah" mvuta bangi mwenzako.
Weee peleka uchizi huko.
Yani unajibaraguza na nchi yenye njaa !!!
Usiitukanishe USA haina wafa njaa.
Masikini wa Tanzania ana unafuu mara kibao,
Mifano michache, masikini wa Tanzania ana chakula,
Masikini wa Tanzania kama anatumia pombe basi anakuywa pombe yenye hadhi wakati masikini wa kenya anakunywa changaa [emoji23][emoji23][emoji23]
We dont hire criminal in our country,
Only failed state do that.
Watafuta nyumba ya Tsh 25000???~ksh 1000? For rent???????
Unakataa ukweli wa mchana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Enda Twitter ukaone wenzako walivyochoshwa na serikali ya awamu ya tano.[emoji23]
Ndio ujue Tz life ni easy hauumizi kichwa kama kwenu huko.
Yani hiyo 25000 ongeza 15000 yani 40,000Tsh unapata sehem ya kupanga na ina mpk maji ndani kigamboni.
Na nzuri fresh.
Ila sio kenya.
Maisha ghali then magumu.
Ndio ujue Tz life ni easy hauumizi kichwa kama kwenu huko.
Yani hiyo 25000 ongeza 15000 yani 40,000Tsh unapata sehem ya kupanga na ina mpk maji ndani kigamboni.
Na nzuri fresh.
Ila sio kenya.
Maisha ghali then magumu.
Maskini wa Kenya akija Tanzania yeye ni middle class.
Ndio ujue kwetu maisha kitu rahisi.M mwenyewe nimeshangaa...nyumba ya ksh1000 kwel...tena katika jiji kuu...
Ukubwa wa gharama sio utajiri ndugu yangu ebu ficha ujinga wako kakaangu.Hio inaonyesha kwamba Tanzania bongolala ni LDC ambayo haiwezi saidika. Aibu iliyoje.
Angalia nchi zote tajiri, kisha uangalie rent zake kwenye city zao.
Tanzania inakimbizana na South Sudan, Burundi na Somalia kwenye uchache wa pesa ya rent.
Usifananishe SA na Kenya bob.Je cape town au jorbug utasemaje....
Mbna vitu siku vinabadilika kulingana na hatua nchi inayopiga...
Ukubwa wa gharama sio utajiri ndugu yangu ebu ficha ujinga wako kakaangu.
Yani ww una accomodate nyumba km ninayo accomodate mm halafu unalipa kodi mara tano yangu,nani ana maisha mepesi?!!!
Nani kwao kuna unafuu wa maisha?!!
Yani mtu mzima unajisifia kulipa rent kubwa ya nyumba?!!
Ona athari ya kujifaragua na hela kubwa hii.
Wananchi gharama za maisha zinapanda raha ikowapi!!!
Kweli kabisa...km mtu ywalipa rent elfu saba kw mwezi na hana kazi ya maana...si akienda bongo si atajiona tajiri
Dikteta rais makufuli, supremo, ni criminal namba moja.
Vipi hii aibu kwa Ulaya ama!!!LDC nyamaza na ujenge nchi yako. Aibu ya Africa.
Maskini wa Kenya akija Tanzania yeye ni middle class.
Mkenya wa kawaida ana mshahara mara tatu ya Mtanzania.