kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
- #21
Hatuna muda wa kuajiri criminal sisi,
Kwanini juzi kati hajapewa awe ceo wa SAf.
Safaricom ni kubwa.
Kuwa qualified kupata kazi ya Voda sio lazima uko qualified kupata ya Safaricom.
Safaricom ukubwa wake ni karibu mara 100 Vodacom.