Another Oddity from Failed State Tanzania

Another Oddity from Failed State Tanzania

Hatuna muda wa kuajiri criminal sisi,
Kwanini juzi kati hajapewa awe ceo wa SAf.

Safaricom ni kubwa.
Kuwa qualified kupata kazi ya Voda sio lazima uko qualified kupata ya Safaricom.

Safaricom ukubwa wake ni karibu mara 100 Vodacom.
 
Kwa sababu alikuwa bado hajajulikana,
Sasa huyo wenu ni criminal hadi wakenya wenzako wanajua kuwa kweli ni criminal alafu unataka aajiriwe Tz [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau mliempa kazi badala ya Sylvia Mulinge(ambaye mlimteua nyinyi wenyewe) mlimkamata kwa 'fraud' hata kabla mwaka hujaisha? Meanwhile, Sylvia Mulinge alinyakuliwa tena na Safcom na hakurudi kwenye kazi yake ya hapo awali. Alipandishwa cheo na kitengo ambacho anaongoza ni zaidi ya mara tatu ya Vodacom. Mungu alimnurusu Sylvia, sio siri.
 
Kwa hiyo ulitaka Voda waajiri huyo dada yenu ambaye hayuko qualified.
Safaricom ni kubwa.
Kuwa qualified kupata kazi ya Voda sio lazima uko qualified kupata ya Safaricom.

Safaricom ukubwa wake ni karibu mara 100 Vodacom.
 
Kwa hiyo ulitaka Voda waajiri huyo dada yenu ambaye hayuko qualified.

Ako overqualified kuendesha Vodacom.
Yeye alikuwa incharge ya department kwa Safaricom yenye profit kubwa kuliko faida ya Vodacom, Airtel na zote zenu combined.
 
Bure kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yupo overqualified mbona hakupewa job ya kuendesha SAF,
Meanwhile hizo faida zinaliwa za wakubwa huku ninyi mkibaki kusifia tu.
Ako overqualified kuendesha Vodacom.
Yeye alikuwa incharge ya department kwa Safaricom yenye profit kubwa kuliko faida ya Vodacom, Airtel na zote zenu combined.
 
A global conference on poverty is to take place in Africa’s largest slum in an effort to make sure the poorest get a voice.😂😂😂👇👇👇
Screenshot_20190926-151214.png
Screenshot_20190926-151228.png
 
A global conference on poverty is to take place in Africa’s largest slum in an effort to make sure the poorest get a voice.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1216499View attachment 1216500
Daaaaah Us Tanzanians have a long way to go but a on a smooth road.
Kenyans my dears mna safari ya kawaida yenye milima na mabonde aiseee.
 
Yaani ata wananchiii wenye wanatumia hiyo road hawangepiga kelele ,,kuna nchi za ujinga sana,protesting ni old syllabus
 
Unataka kusema hyo video ya tetema wamei shoot hapo...sasawa
Achana na aerial view angalia hii video[emoji382] [emoji382] [emoji382]
Kisha na wewe niletee video ya Wanapokaa wananchi wa kawaida huko[emoji23][emoji23][emoji23]

Bure kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yupo overqualified mbona hakupewa job ya kuendesha SAF,
Meanwhile hizo faida zinaliwa za wakubwa huku ninyi mkibaki kusifia tu.

She is overqualified for Vodacom.
But underqualified for Safaricom.

Nini hauelewi hapo?

Vodacom is a small company whose annual profit is less than Safaricom's daily revenue.
 
Bure kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yupo overqualified mbona hakupewa job ya kuendesha SAF,
Meanwhile hizo faida zinaliwa za wakubwa huku ninyi mkibaki kusifia tu.

Wewe baki na umaskini wako bongolala.
Safaricom pays its shareholders dividends every year.

Mimi niko na shares za Safaricom.
 
Daaaaah Us Tanzanians have a long way to go but a on a smooth road.
Kenyans my dears mna safari ya kawaida yenye milima na mabonde aiseee.

Wewe badala ujionee huruma kama LDC, unaongea kuhusu a middle income country. 😂 😂 😂
Kenya is the USA of East Africa. Ndio maana omba omba wenu wamejaa hapa.
 
We dont hire criminal in our country,
Only failed state do that.
She is overqualified for Vodacom.
But underqualified for Safaricom.

Nini hauelewi hapo?

Vodacom is a small company whose annual profit is less than Safaricom's daily revenue.
 
Masikini wa Tanzania ana unafuu mara kibao,
Mifano michache, masikini wa Tanzania ana chakula,
Masikini wa Tanzania kama anatumia pombe basi anakuywa pombe yenye hadhi wakati masikini wa kenya anakunywa changaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe baki na umaskini wako bongolala.
Safaricom pays its shareholders dividends every year.

Mimi niko na shares za Safaricom.
 
Wewe badala ujionee huruma kama LDC, unaongea kuhusu a middle income country. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya is the USA of East Africa. Ndio maana omba omba wenu wamejaa hapa.
Weee peleka uchizi huko.
Yani unajibaraguza na nchi yenye njaa !!!

Usiitukanishe USA haina wafa njaa.
 
Back
Top Bottom