Mbona unaropoka yasiyoeleweka???
Hiyo nyumba iko standard ni quality zote km haujui one master room na three other bedrooms,kitchen,dinning,sitting room na unapanga kwa mwezi 250k tsh nambie kenya kuna urahisi wa maisha km huu???
Unapayuka hata nyumba hujajenga kunguni ww umepanga mathare.