Another 'victim'? Malegesi Adaiwa Kunyeshwa Sumu


Jasusi,

Watu wanakufa kila siku tena kwa kukosa dawa za malaria, kwanini nijali maisha ya fisadi mmoja?

Ya Ballali sina cha kuongezea, maana kila kilichoongelewa na watu wa upande wake kimeonekana total rubish!

Time ndiyo hiyo hiyo ulitumika muda wote na watanzania tukaamini itafika siku atasema ukweli, kumbe alikuwa anapanga mambo yake vizuri ili kujiunga na fugitives wengine wa dunia.

Binafsi sina huruma tena na wasomi wanaogeuka mafisadi maana kuchagua ufisadi kwao haikuwa a matter of life and death.
 
Watatuua sana ila wajue kwamba uzee wenye memory chafu na vifo vya maumivu vinawangoja...
 
Hii ni prison Break na mambo ya kampuni hayo ukikolofishana na kampuni wanakutafuta kwa hali na mali wahakikishe umekufa kabla ya kutoa siri.

Watu mnasema haendi nje ya nchi lakini kifo nacho chaja haya kama ni mjanja kiasi gani
 
fmes,
nimepata habari juzi tu kuwa lowassa was in town. Wanasema eti alikuja kufanya shopping lakini naendelea kuchunguza zaidi.

tupe data kamili kama tayari umezipata kuhusu hawa mafisadi walikuwa nanajambo gani hapo dc
 
tupe data kamili kama tayari umezipata kuhusu hawa mafisadi walikuwa nanajambo gani hapo dc

Walikuwa na Lowasa na Mr. Gire/Richmond ($30 million Letter of credit), pia Lowasa alikuwa anaangalia pesa alizopoteza kwenye stock market na pesa alizoingiziwa na Mampuni ya Madini, kama unakumbuka alipokwenda Canada akiwa waziri mkuu aliwapiga mkwala sana hizo kampuni zilizopo hapa Geita.
 

yaani tuwatetee wakati wenyewe wanabana hawataki kusema wajuacho?
mbona aina hiyo ya demokrasia mimi siielewi?
 

Kumbe hizi kampuni za madini zinatuibia kwa sababu wanakula na mafisadi.
Huyu Lowassa anaingizwaje fedha kwenye akaunti yake amefanya kazi gani
ya kustahili malipo hayo kama siyo kuuza nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…