Ansante sana baba @mshana jr

Hata mimi anaweza kuwa babu yangu? Na mimi nataka.
Fanya hima. Ili uingie kwenye familia yangu sharti ni kukaguliwa na mimi mkaguzi mkuu wa familia. Ila chondechonde familia hii ina allergy na kale kalugha kako kanakotufanya tung'ate ulimi tukisoma posts zako...

Ni mimi babu ODM nikiwa hapa makao makuu ya ukoo
 
Sawa nikaguliwe sitaki kuchelewa kuingia kwenye familia.
Kilugha siongei tena.
 
Mi tayari nshaongeza vivocabularies flani hivi vya chuo kikuu..... Afu kumbe leo Jumapili... am going to church to pray... prayin't me? Na hapo sijanywa K Vant wala sina dikshenare... Paula Paul atakoma kunichokoza)

Hahaha, babu hapo ni churchn't me?

Ukute umepata vocabulary kwenye vile vyuo vya Polycyclic College, sijui Amazon College, vingi vya hapo Manzese na Kariakoo ni chenga.
 
Hahaha, babu hapo ni churchn't me?

Ukute umepata vocabulary kwenye vile vyuo vya Polycyclic College, sijui Amazon College, vingi vya hapo Manzese na Kariakoo ni chenga.
Nimekamata digrii ya kimombo kupitia kwa Profesa Ras Simba.... Yaani ukisoma kwake miezi mitatu tu unapiga kimombo Tony Blair anasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…