Ansbert Nguro: Hakuna wa kuifuta historia ya Mbowe CHADEMA

Kama mtu hahudhulii hata vikao vya chama kwanini historia yake ambacho hahudhulii ibaki?Huyu kasusia chama ambacho ni kikubwa kuliko Tundu Lisu aliyemshinda uchaguzi.Ngoja tuone atavyojenga historia ccm kama alivyojenga chadema.Sioni combination ya kisiasa kama ilivyokuwa cdm
Nigga mpaka sasa haamini macho yake. Angekuwa mwenyekiti mpaka leo kama asingemtuma Wenje kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti iliyokuwa inashikiliwa na Lissu. Lissu akasema sawa, wewe leta washindani kwa umakamu, mimi nauacha nije kushindana nawe kwenye uenyekiti, kilichotokea Ayatollah haamini macho yake mpaka sasa. Kosa kubwa sana la maisha!!
 
Kama mtu hahudhulii hata vikao vya chama kwanini historia yake ambacho hahudhulii ibaki?Huyu kasusia chama ambacho ni kikubwa kuliko Tundu Lisu aliyemshinda uchaguzi.Ngoja tuone atavyojenga historia ccm kama alivyojenga chadema.Sioni combination ya kisiasa kama ilivyokuwa cdm
Kama sio Mbowe hata hiyo chadema usingeijua, Mbowe ndio ameijenga Chadema
 
Kwa hiyo wale wote walioshikamana naye kwenye kesi yake ya ugaidi kipindi kile walikuwa na muda, au walikuwa wanajipendekeza!
Mbowe hakumlazimisha mtu kuhudhuria kesi yake, walihudhuria kwa hiyari yao wenyewe, kwa nini nyie mnamlazimisha ahudhurie kesi ya mhaini lisu?
 
Mbowe amejiua na kujifuta mwenyewe kisiasa, chuki aliyoonyesha kwa uongozi mpya ambao uliingia madarakani kihalali kwa uchaguzi huru huku yeye akijitenga na chama licha ya kuwa na cheo cha kudumu cha mjumbe wa kamati kuu haihitaji kujua alishajipoteza mwenyewe.

Moi alikua anapenda kusema nguruwe anajikaanga na mafuta yake mwenyewe.

Bahati mbaya Ngurumo hajui sasa kizazi gani kiko active kwenye siasa na kina uelewa mkubwa kiasi gani.

Haihitaji degree ya chuo kikuu kuona Mbowe alishajimaliza mwenyewe kisiasa kwa kutohudhuria mahakamani halafu anaibuka kwenye matukio ya serikali haramu ya CCM na kupiga hadi picha na Samuya.
 
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.

Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.

Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.

Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.

Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.

Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.

Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.

My take:

50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).

Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.

Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being

Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.

All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Mbowe Kajichafua mwenyewe. Wewe huwezi kumsafisha
 
Ngurumo MWENYEKITI WETU Ntu ya DIli .
 
Huyo mbowe ni mpumbavumpbavu aliyekuwa anatumika na ccm kuchelewesha mapambano ya kweli ya kudai haki hakuna anayeweza kumkumbuka..... Ni heri kumchinja Mbowe na kumuacha Samia hai!!. Duniani ogopa watu wanafiki, mbowe ni jizi na tapeli la kisiasa.... Makengeza ni msenglemaa ..
 
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.

Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.

Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.

Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.

Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.

Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.

Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.

My take:

50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).

Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.

Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being

Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.

All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Kweli historia ya Mbowe ndani ya Chadema haifutiki bali matendo yake yanashusha heshima aliyokuwa nayo ndani ya Chadema.
 
[/QUOTE
Kumbe Historia mimi nilidhani Heshima. Kama ni Historia ya ujasiriasiasa kweli anayo!
 
Ngurumo is right. Historia ya Mbowe CHADEMA haifutiki. Hilo sio suala la mjadala.

Binafsi sijasikia au kuona viongozi wa CHADEMA wakitumia majukwaa wala nyaraka rasmi za chama kumkashifu Mbowe.

Bali wadau/mashabiki mitandaoni wamekuwa wakimshambulia kila upande baada ya shaka kuingia kuhusu ukaribu wake na dola hasa baada ya kutoka magereza kwa "msamaha" wa DPP. Mara kwa mara kauli mbovu zinatumika katika mashambulizi hayo. Hayo hayaepukiki katika nyakati hizi za utandawazi. Hakuna anayepona katika hali hii. Hata Lissu, Heche, Samia, Madelu, n.k. wanasemewa ovyo kila kukicha.

Ninachoona ni kama vile Mbowe mwenyewe anafanya makusudi kuifuta historia yake CHADEMA. After October 2025, haiwezekani kukawa na maridhiano kirahisi hivi hivi tu. Halikuwa tukio la kawaida lile. Kuna kazi kubwa sana ya kufanya. Kuna watu wasiostahili kuwa kwenye meza ya mazungumzo bali kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa uovu waliotenda au kuagiza kabla maridhiano yoyote hayajafanyika.

Sasa kabla ya kufika hatua hiyo yeye Mbowe anaona sawa tu kuchangamkiana na kushikana mikono na watu watu wa aina hiyo ambao wengine mikono yao imejaa ..... Siku zote CHADEMA imesimama na wananchi kukabiliana na athari za October 2025 na inadai accountability kama sehemu muhimu inayotangulia maridhiano.

Mbowe kama mtu binafsi ana haki na uhuru wa kusema chochote, kufanya chochote, kuwa upande wowote, hata kuwa chawa. LAKINI kama muasisi wa CHADEMA ana wajibu mkubwa zaidi kwa chama hicho na kwa Watanzania. Sasa aamue mwenyewe kuuishi wajibu huo au kuutelekeza. Chuki na maneno ya mashabiki mitaani na mitandaoni si kisingizio makini kuhalalisha kutowajibika kwake.
 
Walau aende akashuhudie basi hukumu ya Lissu hiyo Novemba 6!
Wakosoaji wake kwa sehemu fulani wako sahihi.

Haiwezekani aliposhtakiwa kwa ugaidi wa mchongo, wapenda haki wote wakiongozwa na Lissu waliungana na kupaza sauti kumpigania! Halafu leo Lissu yuko ndani kwa uhaini wa mchongo, ameshindwa kuhudhuria mahakamani, na badala yake amekuwa akionekana kwenye matukio ya mwenyejiti wa chana tawala. Huu ni usnitch.
Sasa unataka aende alafu makamanda wampopoe na mayai viza?
 
Hata Mbowe mwenyewe atakuwa kashtuka kusikia haya. Maana anajua ukweli alishajifia na historia yake alishaitia kiberiti
 
Back
Top Bottom