Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 571
- 676
Hela alizopewa kumuunga mkono Maza ni nyingi sana,anachoogopa kuwa karibu na chama chake na viongozi wa chama chake ni kumkera Maza.Walau aende akashuhudie basi hukumu ya Lissu hiyo Novemba 6!
Wakosoaji wake kwa sehemu fulani wako sahihi.
Haiwezekani aliposhtakiwa kwa ugaidi wa mchongo, wapenda haki wote wakiongozwa na Lissu waliungana na kupaza sauti kumpigania! Halafu leo Lissu yuko ndani kwa uhaini wa mchongo, ameshindwa kuhudhuria mahakamani, na badala yake amekuwa akionekana kwenye matukio ya mwenyejiti wa chana tawala. Huu ni usnitch.