Nigga mpaka sasa haamini macho yake. Angekuwa mwenyekiti mpaka leo kama asingemtuma Wenje kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti iliyokuwa inashikiliwa na Lissu. Lissu akasema sawa, wewe leta washindani kwa umakamu, mimi nauacha nije kushindana nawe kwenye uenyekiti, kilichotokea Ayatollah haamini macho yake mpaka sasa. Kosa kubwa sana la maisha!!Kama mtu hahudhulii hata vikao vya chama kwanini historia yake ambacho hahudhulii ibaki?Huyu kasusia chama ambacho ni kikubwa kuliko Tundu Lisu aliyemshinda uchaguzi.Ngoja tuone atavyojenga historia ccm kama alivyojenga chadema.Sioni combination ya kisiasa kama ilivyokuwa cdm
Chadema imeanzishwa na mkwe wa Mbowe, Mtei, haikuanzishwa na umma!...'Pesa zake mwenyewe' ..kwenye chama cha umma?
Huoni unampaka kinyesi kwa kuona wewe ni sifa njema!
Kama sio Mbowe hata hiyo chadema usingeijua, Mbowe ndio ameijenga ChademaKama mtu hahudhulii hata vikao vya chama kwanini historia yake ambacho hahudhulii ibaki?Huyu kasusia chama ambacho ni kikubwa kuliko Tundu Lisu aliyemshinda uchaguzi.Ngoja tuone atavyojenga historia ccm kama alivyojenga chadema.Sioni combination ya kisiasa kama ilivyokuwa cdm
Mbowe hakumlazimisha mtu kuhudhuria kesi yake, walihudhuria kwa hiyari yao wenyewe, kwa nini nyie mnamlazimisha ahudhurie kesi ya mhaini lisu?Kwa hiyo wale wote walioshikamana naye kwenye kesi yake ya ugaidi kipindi kile walikuwa na muda, au walikuwa wanajipendekeza!
Unaandika vitu vyepesi hadi uwezo wako unakuwa questionable!Umehamishia ubongo wako kwenye miwani ya Freeman na kumruhusu akusaidie kufikiri.Kama sio Mbowe hata hiyo chadema usingeijua, Mbowe ndio ameijenga Chadema
Hakukithamini alichokijenga. Otherwise, asingeshiriki kukibomoa. G55 ni wapiganaji wake.Kama sio Mbowe, Chadema ingekuwa kama chama cha dovutwa tu, Mbowe ameijenga chadema kwa pesa zake mwenyewe
Kama si uovu wa shetani hata wewe usingeijua dhambiKamq sio mbowe, hata wewe kapuku usingeijua chadema
Mwambie basi aache usnitch.Mbowe hakumlazimisha mtu kuhudhuria kesi yake, walihudhuria kwa hiyari yao wenyewe, kwa nini nyie mnamlazimisha ahudhurie kesi ya mhaini lisu?
Mbowe Kajichafua mwenyewe. Wewe huwezi kumsafishaMwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.
Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.
Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.
Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.
Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.
Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.
Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.
My take:
50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).
Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.
Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being
Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.
All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Ngurumo MWENYEKITI WETU Ntu ya DIli .Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.
Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.
Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.
Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.
Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.
Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.
Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.
My take:
50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).
Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.
Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being
Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.
All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Snitch mzee kama Mzee Nyundo wa tamthiliya ya KULI-Shafii Adam Shafii.Mwambie basi aache usnitch.
Kweli historia ya Mbowe ndani ya Chadema haifutiki bali matendo yake yanashusha heshima aliyokuwa nayo ndani ya Chadema.Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.
Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.
Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.
Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.
Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.
Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.
Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.
My take:
50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).
Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.
Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being
Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.
All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Hujui kitu kaa kimya.Chadema imeanzishwa na mkwe wa Mbowe, Mtei, haikuanzishwa na umma!
Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.
Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.
Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.
Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.
Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.
Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.
Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.
My take:
50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).
Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.
Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being
Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.
All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
[/QUOTE
Kumbe Historia mimi nilidhani Heshima. Kama ni Historia ya ujasiriasiasa kweli anayo!
Ngurumo is right. Historia ya Mbowe CHADEMA haifutiki. Hilo sio suala la mjadala.Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.
Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile kinachomkabili Mbowe sasa kinaonekana kwenda zaidi ya ukosoaji, huku karibu kila hatua anayochukua ikitafsiriwa vibaya, ikiwemo kukutana na viongozi wa Serikali na kushiriki shughuli za kitaifa.
Amesema Mbowe alitumia zaidi ya miaka 20 kuijenga CHADEMA, akiwalea na kuwawezesha kisiasa viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu ambaye baadaye alimshinda katika uchaguzi wa uenyekiti wa chama Januari 2025 kwa tofauti ya kura 31.
Kwa mujibu wa Ngurumo, baada ya kushindwa Mbowe alikubali matokeo na kuondoka katika nafasi hiyo bila kuunda chama kingine wala kujaribu kuvuruga uongozi mpya, jambo analoliona kama sehemu muhimu ya urithi wake wa kisiasa.
Amesema pia Mbowe amekuwa akitafsiriwa vibaya kwa sababu ya historia yake kama mfanyabiashara na mtazamo wake wa kuamini katika mazungumzo, akisisitiza kuwa kukutana na Rais au kusifu jambo zuri lililofanywa na Serikali si lazima kumaanishe kusalimu amri au kuachana na misimamo ya kisiasa.
Ngurumo, ambaye ameeleza kuwa aliwahi kufanya kazi kwa takribani miaka 11 katika kampuni ya Free Media Limited inayomilikiwa na familia ya Mbowe, amesema historia hiyo haimlazimishi kumtetea Mbowe, bali inampa uzoefu wa kumtazama kwa mtazamo mpana kuliko propaganda zinazozagaa.
Amesema pamoja na mapungufu ambayo Mbowe anaweza kuwa nayo, hakuna anayeweza kufuta mchango wake katika kuijenga CHADEMA kutoka chama kidogo hadi kuwa nguvu kubwa ya upinzani nchini, akihitimisha kuwa “kutokubaliana kisiasa hakupaswi kuwa chuki” na kwamba kuondoka kwenye uongozi hakumnyang’anyi mtu haki ya kuendelea na maisha yake.
My take:
50 by 50 uko sahihi. Tatizo la wakosoaji wake ni siasa za udalali ( kama kweli zipo).
Kilichowakera zaidi ni kwenda Kizimkazi kwa mtu anayetuhumiwa kuua watu wa chadema wengi na waliouawa 29.10.2025.
Mbowe ana tone ya Truth and Reconciliation ndani ya moyo wake. Sasa kwa vile hakuna Truth and Reconciliation, basi the others side wana haki ya kuwa na mashaka naye at least for the time being
Nashauri/ Nadhani wakosoaji wake wafanye research ya kutosha kabla ya kuweka public Abstract ya paper yao.
All in all Mbowe bado ni ICON ya Chadema.
Sasa unataka aende alafu makamanda wampopoe na mayai viza?Walau aende akashuhudie basi hukumu ya Lissu hiyo Novemba 6!
Wakosoaji wake kwa sehemu fulani wako sahihi.
Haiwezekani aliposhtakiwa kwa ugaidi wa mchongo, wapenda haki wote wakiongozwa na Lissu waliungana na kupaza sauti kumpigania! Halafu leo Lissu yuko ndani kwa uhaini wa mchongo, ameshindwa kuhudhuria mahakamani, na badala yake amekuwa akionekana kwenye matukio ya mwenyejiti wa chana tawala. Huu ni usnitch.