kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
kifo cha sisiemu ni faida kwa mnyonge wa nchi hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama wanatuhuma (kama ambavyo viongozi wote walivyo nazo) utaratibu ulipaswa kufuatwa.Drama hizi za ccm sio za kuamini sana.. Kuna wakati hao wazee wakiwa madarakani walikuwa untouchables lakini pia wana tuhuma lukuki kama viongozi wengine wote wa ccm... Tusubiri yatokanayo
Jr[emoji769]
Kama unaamini CCM kina uthubutu mwambie Polepole/Bashiru aje amuite Makonda kumuhoji.CCM ni chama chenye usubutu na chenye kuamini kuwa hakuna aliye zaidi ya chama na chenye kutetea maslahi mapana ya Taifa Kama ni kweli acha waondoke kwani waliondoka wengi wakubwa zaidi yao binafsi niwatakie uzee mwema
Kwani hilo haliwezekani?Eti "wamejiuzuru na kurudisha Kadi" hapa ndipo muvi ilipoharibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini kujiuzulu kwao au kama mwanahabari basi thibitisha kuhuzuria kwao kwenye kikao cha mahojiano!Duh!, kama ni kweli, hii ni kali ya mwaka, ila mimi ni mmoja katika kundi la kina Tomaso, siamini mpaka CCM wenyewe waseme!.
P