Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

Status
Not open for further replies.
nasubiria kuona watu wakipelekwa Kisutu kwa uhujumu uchumi
 
CCM ni chama chenye usubutu na chenye kuamini kuwa hakuna aliye zaidi ya chama na chenye kutetea maslahi mapana ya Taifa Kama ni kweli acha waondoke kwani waliondoka wengi wakubwa zaidi yao binafsi niwatakie uzee mwema
Wewe ni mjinga tu,kuiba pesa ya umma ndo kutetea maslahi ya taifa? Tuambie kwanza nani alikwapua mabilioni ya EPA na ESCROW ?
 
Mi nadhani ccm wanatekenyana wenyewe halafu wanataka watz ndio tucheke!!!wameua upinzani halisi kwa chuma sasa wanatengeneza upinzani feki ambao naona wengi wanaunga mkono kina membe na kundi lake!!!Pole sana tanzania!!
 
Siku magufuli akiondoka utakuja kusema...

"...Magufuli? Kwanza ni fisadi mkubwa alikwapua 1.5trillion na kuhonga nyumba kwa kimada... "

Maek my words kasuku wa lumumba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika ccm haijafa?
 
Hapa serikali haihusiki. Haya ni masuala ya Chama.
 
Kwa jinsi ccm inavyotesa watu wakiwemo watumishi wa umma hata mimi ningejivua uanachama.zNani anachafua chama hiki?
 
Ndugu Bukyanagandi, kama unavyomsema huyo bwana kuwa pandikizi, nawe umejiingiza katika upandikizi wa upande wa pili.

Nyote mnazungumzia mambo msio na uhakika nayo. Makamb na Kinana hawajazungumza, hakuna aliyewafikia kuwauliza, CCM haijazungumzia jambo hili.

Tunatoa wapi hizi habari, kama sio unafiki na uchonganishi. Chama na hoa wazee ufikiapo wakati muafaka watatujuza ukweli ulivyo, sisi kwa nini tukurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha wamalizane maana huu ndio ubatizo wa moto alioupigia chapuo Mzee Makamba akiamini hayatamkuta.
 
Akija Rais mwingine utakuta hata Bashiru na Pole pole ni wapiga dili wakubwa
 
Huyo SAUTI KUBWA ndo chanzo
 
Kama kweli kwanini hatuoni barua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…