Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Kiswahili chako tu kimeshadhihirisha uraia wako ni wa mashaka . Ngoja nikuache tu usije ukarudishwa kwenu na ndugu zako mliojazana kwetu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Nahisi wa iringa walifanya mwakajuzi! Hivi nyie miwatu mnanini vichwani mwenu?
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Kwanin ccm walimtoa meya wa iringa kibabe wakijua umebaki mda mchachevmda wake uishe
 
Duh....!

Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?

Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Ndugu, tusiponde watu bila tahadhari, siku hizi kwetu hili ni jambo la kawaida sana kwa Viongozi wa chama changu na serekali ya chama changu, wamekuwa waigizaji wa hali ya juu, hata kuwazidi China, kwa kuigiza kujikomba kwa mkuu.

DR. MPANGO kesha fail kwenye ujenzi wa uchumi, ila amekuwa the world greatest pioneer wa ECONOMY DESTRUCTION, na atapewa Nobel prize kwa hili.

Hili lisemwalo kwenye uzi huu, ljna ishara nyingi za uwezekano lilitokea, linafanana na game plans za akina Bashiru na Polepole, lakini hilo la kupiga magoti naona ni exaggerated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha vijikelele zenu za kijinga. Utafanya nini, huna uwezo, nguvu wala akili.

Usijaribu kupingana na waume usiowamudu na unaowaogopa, mtabaki mna bwata bwata ovyo kama MBWA KOKO
CCM ilishakufaga na Nyerere. Hawa wanunuzi wa Binadamu ni GENGE la KIGAIDI.
Wanachezea kodi zetu kwa kigezo cha "RUZUKU ya CHAMA" watajutia hii biashara siku moja. Mda utaamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatuma, hii mipango watu huwa wanafanya mule ndani ya ofisi, siyo pale nje barabarani Lumumba st unaposhinda kutwa kuuza vikoi na kofia za njano na kijani!
Umeshapona kiuno?

Mumeo namuona bungeni mkono unaning'inia lakini wewe sikuoni manka....au hujapata discharge!
 
Inaonekana JPM kamfanya Ngurumo kukosa hoja za maana na zilizoshiba kama enzi zileeee kabla Mbowe na Lisu hawajakiuza chama kwa CCM 2015.
 
Kumuita kapuku mtu asiye na hela na anayetegemea kulipwa elfu 7 kwa kuandika humu jf haijawahi kuwa tusi , hilo ndio jina lake halisi .
 

Iwe kkweli na isiwe kweli haituhusu, ila hata huyo meya pengine asirudi tena kwenye umeya na mambo yataendelea. Anunuliwe au asinunuliwe, muda umeisha ni muda wa mawazo kurudi kaika nafasi au asirudi, hayo ni maisha anayopambana nayo, sasa kma anatafuta huruma ya wananchi hiyo nayo ni mbinu yake. Ila kwa sasa tunapambana na corona hayo mengine siku bado.
 
Kumuita kapuku mtu asiye na hela na anayetegemea kulipwa elfu 7 kwa kuandika humu jf haijawahi kuwa tusi , hilo ndio jina lake halisi .

Ngurumo kwa sasa afanye kazi huko ya kuodha maitipenginr atapata pesa na kuondoa stress alizonazo, maana siku hizi amekuwa hajui anachoongea
 
How do we trust Ngurumo, of which he is anti- CCM + anti-Government political activist, his views or articles zinakosa uhalali na ukweli kutokana na kuwa ni mpinzani, hivyo sbb ni mtunzi tu wa habari, ataongea kiupinzani tu. Haina mashiko hii habari
eti.. of which!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…