Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:

Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.

Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.

Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.

Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.

Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”

RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.

Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.

Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.

Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.

Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Tobaaaaa
 
Kinachosikitisha uzushi kama huu ndio unapendwa sana na watz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba yavamiwa: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

SAUTI KUBWA inakuletea MCHAPO wa kisiasa kutoka Dodoma katika ofisi ya waziri wa fedha na mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:

Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bukoba.

Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge wote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakati Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.

Kumbe ndio mradi wa Bashiru alioufanya Mbeya, Ujiji, Iringa na kwingineko. Chifu anaandamwa sana kuelekea Oktoba 2020. Mlindeni!
 
Karumuna ni suala la muda tu kabla jogoo hajawika ila JPM atajuta na wanakagera na tetemeko make pale ishu ni ngumu kiasi ..however, anything can happen
 
Ni sehemu ya kawaida ya michezo ya kisiasa .

My,,eti rRC Na DC wakapiga magoti?..!!
Halafu ilipofail wakachukia Sana.

Hii mbinu ya kupiga magoti nimeisifu Sana,,Ni next level yaani...
 
Sipati pocha yule brigedia jeneral alivopiga goti wa karumuna.
 
Tumia vizuri akili yako Dada, hujiulizi ni kwanini meya wa Iringa baada ya kukataa ofa ya dau kutoka ccm ndo akaanza kukutana na figisu katika dakika hizi la lala salama??.
Wewe kweli mbumbumbu wa karne! Unakubaliana na uongo huo?
 
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:

Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.

Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.

Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.

Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.

Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”

RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.

Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.

Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.

Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.

Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Ccm na rushwa, haijalishi ni Magufuli au Kikwete!

Na wewe ulikuwemo ukumbini kama nani? Details unazozisema ni lazima mtu awepo physically kuzifahamu.
 
Hawa jamaa wawili wanakuja na siasa za kijima kijimaa!!
 
Back
Top Bottom