Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Afadhali kawahi kuitwa kuna watu wanafatwa usiku wanastukia tu wanaambiwa saini unahamia ccm ila madaraka yako yapo pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?

Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
USIKUTE WEWE NDO MPANGO MAANA MKIANZISHAGA MAMBO YENU YA KIBWEGE HAMCHELEWI KUJA KUJIHAMI HUKU
 
Duh....!

Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?

Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Anaweza kuhangaika na nini kwenye kuporomoka kwa uchumi wa Dunia?,
Team wafuga chatu Hayo ndio wanayotegemea kuonesha kwamba wanapendwa na wanaungwa mkono, Mbona wameshafanya mambo ya KIFIRAHUNI mengi sana.....,na makubwa kuliko hili...,hujui nahujaona ama ndo kujitoa ufahamu?
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Unadhani kukubali kuunga juhudi ni kuwa na kitu au kutokuwa nacho? kwani wabunge walokubali kuunga juhudi unadhani hawana kitu? unadhani meya wa iringa alipokataa mil. 200 yeye ni tajiri sana? Ndugu ukikubali tamaa ikutawale hata uwe bilionea utanunuliwa kwa mil.hata 2, lakini kama unaijua thamani yako hununuliki hata kama umelala njaa na SI LAZIMA UELEWE SASA HIVI
 
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:

Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.

Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.

Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.

Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.

Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”

RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.

Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.

Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.

Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.

Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.

How do we trust Ngurumo, of which he is anti- CCM + anti-Government political activist, his views or articles zinakosa uhalali na ukweli kutokana na kuwa ni mpinzani, hivyo sbb ni mtunzi tu wa habari, ataongea kiupinzani tu. Haina mashiko hii habari
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Tumia vizuri akili yako Dada, hujiulizi ni kwanini meya wa Iringa baada ya kukataa ofa ya dau kutoka ccm ndo akaanza kukutana na figisu katika dakika hizi la lala salama??.
 
Yaan serikali mlivyoutelekeza mji wa bukoba na kuufanya Mungu atawalipa aisee.

Mji huu hauna stendi,lami zake zimejaa matope,hakuna soko.Taa haziwaki , barabara ni finyu,NK

Kisa unaongozwa na chadema.

Cha kushangaza huyo bashiri bukoba ni kwao lakin siasa zinamsahaulisha kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aliyeleta taarifa ndio Muhaya nshomile kabisa,
Katibu Mkuu wa Chama ndio akapige magoti
ukisikia mtu anaitwa mujunwa akili zake ni za kujisifu na kujiona bora stand tu mpaka mututangazie, mbona tetemeko na magonjwa kibao hamkujisifu, mnajisifia upuuzi wa udiwani eti kaombwa akashindane na Kagasheki, mara Rwakatare, acheni majigambo jengeni stand
Mkuu kama huelewi siasa za Bukoba bora ukae kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna diwani mmoja aliwahi nionesha mpaka namba zawanaotaka aunge juhudi, nilipoangalia majina yao nilishtuka sana mana ni watu wazito haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu una tofauti gani na ugaidi? tunahitaji kuwaondoa wadhalimu hawa madarakani, haiwezekani nchi ikaongozwa na wajinga kiasi hiki. Yaani wananchi wachague mtu halafu wanatokea wajinga wachache wanatengua choice ya watu. Hii ni dharau ya hali ya juu.
 
Sidhani Kama Mpango anaweza kujihusisha na ujinga wa aina hii...Wakati mwingine watu wanatumia hali hii kuzusha mambo.Hata serikalin kila mtu anatishia mwingine kwamba yuko usalama ha ha ha
 
Hujui kitu wewe masikini , kapuku usiye mfano , tumemrekodi jiwe akimbembeleza Mnyika kuhamia ccm na muda si mrefu tunaiachia hewani , liwalo na liwe ! utaficha wapi sura yako ?
Mkuu kuna mtu ka hack account yako! Tumewazoea makamanda kwa kutumia matusi na kashfa sana katika kujenga hoja zao ila sikuwahi kuona popote na wewe ukitumia mfumo huu.. Ungetuwekea tu hiyo sauti ingeongea mengi na ya kutosha kuliko haya uliyoandika. Tunaomba tu huo ushahidi wa sauti isije kuwa unatudanganya maana siku za hivi karibuni umekuwa na habari za uongo uongo nyingi..
 
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:

Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.

Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.

Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.

Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.

Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”

RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.

Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.

Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.

Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.

Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
watanzania tumekuwa kama nyanyaa, CCM wanatufanya kama serembua lani, wanafanaya biashara ya watu, hi CORONA
CORONA ipo siku nyingi, POLEPOLE NA BASHIRU ni korona
 
Abafini bakulazage kileki?
 
Back
Top Bottom