The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Hapo Mahakamani hapata tosha wadau wameomba kesi isikiliziwe uwanja wa Taifa.Mi nasubiria kesi tu iwe inaripotiwa live kwenye Tv ili tuone mtanange!!
Ccm na kundi lake ( sio dola) wataumbuka tena.
View: https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!
➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya Magufuli na Samia....
➡️Na tujiulize, katika awamu zote hizi wamemkamata na kumfungulia mashitaka ya namna hii mara ngapi huyu Tundu Lissu? Ni mara nyingi, au siyo? Walimkuta na hatia yoyote mara zote hizo ktk maneno yake? Jibu, ni hakuna..!
➡️ Tundu Lissu anaongoza harakati za kupinga taratibu za mifumo ya chaguzi za Tanzania kwa sababu wao wanaona si mifumo ya haki, wazi, na kuaminika. Na CCM na serikali obviously hawajashikwa miguu kuendelea kutumia mifumo hiyo hiyo kuendelea na taratibu za uchaguzi. Sasa CCM na serikali wanaogopa nini? Maneno?
Lazima nisafirie mjini Dar kuisikilizaMi nasubiria kesi tu iwe inaripotiwa live kwenye Tv ili tuone mtanange!!
Tena tuwekewe vipaza sauti na spika. TL wamempeleka penyeweHii kesi ipelekwe uwanja wa Taifa
Utajua hujui, hata buibui hataingia mahakamani, ni watu select tu, utabondwa huo mdomo uvimbe kama mimba ya panyaLazima nisafirie mjini Dar kuisikiliza
Sawa Kagame wa TanzaniaUtajua hujui, hata buibui hataingia mahakamani, ni watu select tu, utabondwa huo mdomo uvimbe kama mimba ya panya
Unaongea ukiwa wapi Mzee?Canada au Kenya?
View: https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!
➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya Magufuli na Samia....
➡️Na tujiulize, katika awamu zote hizi wamemkamata na kumfungulia mashitaka ya namna hii mara ngapi huyu Tundu Lissu? Ni mara nyingi, au siyo? Walimkuta na hatia yoyote mara zote hizo ktk maneno yake? Jibu, ni hakuna..!
➡️ Tundu Lissu anaongoza harakati za kupinga taratibu za mifumo ya chaguzi za Tanzania kwa sababu wao wanaona si mifumo ya haki, wazi, na kuaminika. Na CCM na serikali obviously hawajashikwa miguu kuendelea kutumia mifumo hiyo hiyo kuendelea na taratibu za uchaguzi. Sasa CCM na serikali wanaogopa nini? Maneno?
Huyu mkimbizi mwambie aendelee kubeba maboksi huko Ulaya

Isidingo Part 3Mi nasubiria kesi tu iwe inaripotiwa live kwenye Tv ili tuone mtanange!!
Kwani we nani uzuie watu kutumia haki yao ya kikatiba?Utajua hujui, hata buibui hataingia mahakamani, ni watu select tu, utabondwa huo mdomo uvimbe kama mimba ya panya
Tv gani hapa bongo?!Mi nasubiria kesi tu iwe inaripotiwa live kwenye Tv ili tuone mtanange!!
Hebu tuwaulize wenzetu wa Kenya ambao wamepiga kitabu kuliko sisi "maneno ya Lissu yana uhaini?"angeitwa tu ili ajieleze alimaanisha nini!