PreGE2025 Ansbert Ngurumo: Mwachieni Tundu Lissu, mtaaibika tena.......!!

PreGE2025 Ansbert Ngurumo: Mwachieni Tundu Lissu, mtaaibika tena.......!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
chadema msicheze na akili za watanzania wanyonge

anazungumza TL anazungumza yenye hamasa,yenye afya kwa jamii?siasa za maneno ya chuki maneno ya hamasa ya uhaini na achwe aisambaze sumu kwa taifa
Mnyonge labda mama yako ni vile tu ccm imeteka jeshi la polisi na mahakama
 
Sawa Kagame wa Tanzania
Kuna eneo la utafiti wanasayansi na wanasaikologia hajaliona bado. Nafikiri wakifanyia utafiti eneo hilo wanaweza wakala na ugunduzi muhimu sana (breakthrough) utakaosaidia kujua namna ya kudhibiti fikira na uwezo wa utambuzi wa binadamu. Kuna nini CCM kinachopumbaza wafuasi wake kiasi cha kutokuona yaliyo dhahiri! Fikiria tu uwezo wa kiakili wa watu kama chinembe, nabii amosi, talatala na wenzao!
 
View: https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg
➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!

➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya Magufuli na Samia....

➡️Na tujiulize, katika awamu zote hizi wamemkamata na kumfungulia mashitaka ya namna hii mara ngapi huyu Tundu Lissu? Ni mara nyingi, au siyo? Walimkuta na hatia yoyote mara zote hizo ktk maneno yake? Jibu, ni hakuna..!

➡️ Tundu Lissu anaongoza harakati za kupinga taratibu za mifumo ya chaguzi za Tanzania kwa sababu wao wanaona si mifumo ya haki, wazi, na kuaminika. Na CCM na serikali obviously hawajashikwa miguu kuendelea kutumia mifumo hiyo hiyo kuendelea na taratibu za uchaguzi. Sasa CCM na serikali wanaogopa nini? Maneno?

Moja ya vichwa vyangu vichache vya elimu ya muziki Mtakatifu ndani ya Kanisa Katoliki nchini.
 
Isidingo Part 3

Ya kwanza- Mbowe na Ugaidi,
Ya pili Dr. Slaa na Uhaini
Yat Tatu Lissu na Uhaini
Umesahau:

Boniface Mwambukusi na Mdude Nyagali nao walipachikwa kesi ya uhaini pia...

Hii ilikujaga pale walipokomaaga sana na skendo ya Bi Chura Kiziwi kugawa bandari zote za baharini, maziwa na mito za Tanganyika kwa wajomba zake waaraabu wa Dubai na Oman...

CCM na serikali yao wakishalemewa na hoja tu wanaanza kutafuta namna ya kukupoteza au kukuua aidha physically au kwa kujaribu ku - manipulate sheria...

Hii ya Tundu Lissu ni yaleyale. Kapachikwa kesi ya uhaini kwa sababu anaongoza harakati za kupinga mifumo ya hovyo inayosimamia chaguzi zetu. Amegusa maslahi ya "ma - Godfathers" wa kishetani wa CCM. Amegusa wasipotaka paguswe...!!

Wamepigwa spana za kutosha na CHADEMA ya Lissu. Na kama ni mpira wa miguu, basi tunaweza kusema kuwa CCM na serikali yao imepigwa goli za kutosha home and away. Wameshindwa vibaya...!!
 
Asante Kwa kuongezea. Kumbe ndio mtindo wao. Ifike mahali, hawa wanasheria wa serikali nao waanze kushtakiwa Kwa kuwaonea watu Kwa kuwabambika hizi kesi. Labda ndio na wao watakoma.
 
Back
Top Bottom