share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Ni vyuo vyote.Maprofu wetu waliokulea UD wanapukutika aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vyuo vyote.Maprofu wetu waliokulea UD wanapukutika aisee
Tatizo ni kwamba haelezi hayo makosa ya JPM kwa nia ya kutaka yarekebishwe bali anachokifanya ni kutumia hayo makosa kwa malengo ya kuonyesha JPM hafai,kwahiyo lengo si kukosoa kwa maana ya kwamba tatizo si hayo anayoyafanya JPM bali tatizo ni JPM mwenyewe.Kwani Tz mbongo anapomkosoa huwa hana hoja ?!.
Kwa mfano issue ya Corona Mzee anachemka !!. Kama kiongozi mkuu , hakutakiwa kuicrush maabara kuu ya taifa. Kwa kuipimisha oil, kware, makondoo na mimbuzi. Na kisha kuhusisha udhaifu wa maabara hiyo na mabeberu. Kutimua wataalamu wake
Pili hakutakiwa kuificha takwimu na kuikana Corona kuwa haipo. Wakati raia waTz wakivuka mpaka tu , wanapimwa na kukutwa na Corona eg madereva, wachezaji na hata wasafiri wa kawaida mfano Oman !!
Tatu na mwisho . Barakoa zimeingia huku tukiwa na taasisi zetu tunazoiziamini eg Tiss, Tmda, Tra , Police nk. Sasa tusipoziamini hizi taasisi, tumuamini mtu moja tu Maghufuli ?!
Angalia hoja za mkosoaji
Kwahiyo baada ya kushabikia chama chake kwenye kampeni na kushangilia wingi wa mikusanyiko ya watu wasio na tahadhari za kujikinga na coronana ndio sasa anakumbuka kuwa Tanzania kuna corona?Kwa hiyo kwenye kampeni ulitaka akae kimya? Kwan na yeye Kama ulivo wewe si ana chama chake ambacho alitaka kishinde? Ulitaka asikipigie kampeni?
Huna habari na kitabu kinachoitwa Game Changer? Kimeandikwa na waahadhiri wa Jalalani University.Statement ya JPM kuhusu namna anavyo shughulikia Covid-19 imemchafulia sana Image yake Nje.
Mungu asaidie, but otherwise watakaobaki hai baada ya janga hili watamwandikia kitabu kumsimulia(Bad side of him)
Sijakisoma hicho kitabu, kinapatikanaje online au hard copy??Huna habari na kitabu kinachoitwa Game Changer? Kimeandikwa na waahadhiri wa Jalalani University.
Where did you read me claiming that?prove your claim that the variant in Tanzania is new
Where did you read me claiming that?