kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Huyo ansbert ngurumo namuona kama ms_enge tu. Meena namfahamu binafsi. Njaa na tamaa ya utajiri inamsumbua sana. Nilimjua alipokua kijana mdogo pale kkkt keko yeye na vijana wenzake walipotorosha vifaa vya muziki vya usharika na kukimbia navyo kutafuta fedha binafsi. Japo walirejesha baada ya miaka kadhaa na kurudishwa kundini inanipa picha kwa nini yuko kwenye kundi kumchafua kiongozi aliyependwa sana na watanzania kama magufuli.Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma.
Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi? Kwa sheria ya bajeti hairuhusu kuhamisha mafungu?
Leo hii pesa za umma zinaibiwa na hazijengi viwanja vya ndege, shule, mahospitali na huduma za jamii. Mbona mpo kimya?