Ansbert Ngurumo na wanazi wenzako tambueni uwanja wa ndege Chato ni mali ya umma. Kamaa nyie ni wazalendo kweli kemeeni huu ufisadi unofanyika sasa

Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma.

Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi? Kwa sheria ya bajeti hairuhusu kuhamisha mafungu?

Leo hii pesa za umma zinaibiwa na hazijengi viwanja vya ndege, shule, mahospitali na huduma za jamii. Mbona mpo kimya?
Huyo ansbert ngurumo namuona kama ms_enge tu. Meena namfahamu binafsi. Njaa na tamaa ya utajiri inamsumbua sana. Nilimjua alipokua kijana mdogo pale kkkt keko yeye na vijana wenzake walipotorosha vifaa vya muziki vya usharika na kukimbia navyo kutafuta fedha binafsi. Japo walirejesha baada ya miaka kadhaa na kurudishwa kundini inanipa picha kwa nini yuko kwenye kundi kumchafua kiongozi aliyependwa sana na watanzania kama magufuli.
 
Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma.

Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi? Kwa sheria ya bajeti hairuhusu kuhamisha mafungu?

Leo hii pesa za umma zinaibiwa na hazijengi viwanja vya ndege, shule, mahospitali na huduma za jamii. Mbona mpo kimya?
Jumuisha hivi vitu hapa; kimtokacho mtu kinywani ndicho kitokacho moyoni!!!
Huyo mwandishi chuki zake binafsi hazijaanza leo; maudhui yaliyomo kwenye kitabu cha
1. An Epitome of Cowardice; na
2. I am the State zinafanana halafu waandaika kwa king'eng'e kuwafurahisha wafadili wao. Vitabu hivyo vingechapishwa kwa lugha ya Kiswahili hao jamaa wangegawanwa na wananchi hadharani
Tazama hapa
a) Amazon product ASIN B07T1GRM5Xb)
 
Thibitisha kuwa ni fisadi na dhalimu Ili tusikuone mpuuzi.
Kama hujauona udhalimu wake basi wewe ni mpumbavu
1679652251550.jpg
img_3_1680413385526.jpg
 
Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma.

Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi? Kwa sheria ya bajeti hairuhusu kuhamisha mafungu?

Leo hii pesa za umma zinaibiwa na hazijengi viwanja vya ndege, shule, mahospitali na huduma za jamii. Mbona mpo kimya?
uwanja umejengwa bila kufuata taratibu za manunuzi kwa kutumia single source na kuipa kampuni ya Jamaa Yake. Fisadi Mkubwa kuwahi kutokea Tanzania ni Jpm
 
Uma lini uliridhia uwanja wa ndege tena wa kimataifa ujengwe kijijini kwa magufuli??
Sema mali ya mwendazake aliitia serikali hasara kwa kiburi ingekuwa nchi ua kidemokrasia angenyongwa kwa kiharibu pesa za walipa kodi
 
Back
Top Bottom