Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Screenshot 2025-04-09 171054.jpg
“Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo maarufu hivyo inabidi kufuata sheria na taratibu za mc na kama unavyojua tasnia imekuwa ikiajiri watu wengi zaidi hivyo ni umakini uongezeke”

Anthony D. Luvanda
Mshereheshaji
Machi 18, 2025

Pia soma:
~
Sam Sasali: Nilipost Maharusi kumbe Bwana Harusi ana mke mwingine, kesi ikaniungukia
~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa
~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100
~ Ijue Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria no. 11 ya mwaka 2022
 
Asipindishe maneno,aseme siku hizo kuna wazee wa ovyo,ba kuwajua mpaka uende harusini
 
Back
Top Bottom