“Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo maarufu hivyo inabidi kufuata sheria na taratibu za mc na kama unavyojua tasnia imekuwa ikiajiri watu wengi zaidi hivyo ni umakini uongezeke”
Anthony D. Luvanda
Mshereheshaji
Machi 18, 2025