Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Kafundishwa ubaya wa kukwepa kodi, kwani sio faida hiyo?
 
Mi nadhani tumwache tu maana tukianza kumsema sema hivi asije akapata teuzi kwa kuonewa huruma

Umeongea point mkuu, yaani huku kumsema sema naona tunampaisha na yeye kupata sababu kwamba aliisaidia ccm kuwapa coverage ya bure .

Kama desturi ya sinzonje mkisema wa nini yeye kwake ndo dhahabu utashangaa kaukwaa uwaziri wa madini
 
Huyu Diallo kipindi akiwa Waziri wa Mali Asili alitoa vibali vya kusafirisha Magogo ni kiongozi mzigo ata ndani ya chama chake...

Kujipendekeza kipindi cha uchaguzi alijua atapata hisani kuficha maovu yake ....

Ngoja avune kwa kadri ya matendo yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli kabisa,imepita na mwendazake.
Tuwe tunaomba Mungu atusamehe,na tutende yaliyo mema.
Mama naye asimamie HAKI kama alivyojipambanua,vinginevyo "wembe ule ule....."
Mzena si bado ipo ?
 
Unfortunately, Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.

Take it or leave it.
Na kiinglishi chako cha nursery School, vipi bado unaamini he is happy? Umesikia mwenyewe au kiherehere kimekuisha?
 
Uovu huu unaousema Upinzani kwao ni furaha hawana shida nao hata kama Magufuli aliukazia spana
 
Nashangaa leo amekuwa lulu kwa watu wasio na ajenda za kisiasa...
Ni wajinga tu ndio watakaomuona ameongea la maana. Huyu ni mchumia tumbo alihusika kutuleyea shida kubwa sana.

Leo anaongea sababu kuna maslahi yake yalikomeshwa. Alifuatiliwa na TRA walimkomba hela zote. Magu ndio aliwatuma alimheuka jamaa.

Atubu kwanza.
 
Na kiinglishi chako cha nursery School, vipi bado unaamini he is happy? Umesikia mwenyewe au kiherehere kimekuisha?
Perspectives mkuu!

Mtu kama Diallo:
Elimu: PhD (Ulaya)
Ujasiliamali (Founder,CEO and CFO): Media (TV,Radio), Airline etc
Siasa: Ubunge (10yrs+); Uwaziri, Mwenyekiti CCM Mkoa etc

Huyu Mzee ana mafanikio kielimu, kiuchumi, kijamii na kisiasa. Leo hii uhitimishe ati ana shida kama mnyonge mwingine...dah!

I just rest my case!

Keep on fighting my nursery school English.

Wishing you happy ending.
 
dah!

good luck mkuu.
 
Uovu huu unaousema Upinzani kwao ni furaha hawana shida nao hata kama Magufuli aliukazia spana
Tatizo (lenu) mnamtazama alichoongea kama personal opinions...Hilo ni tatizo kubwa.

Kuelewa alichoongea Mwamba Diallo itawalazimu mtoke nje ya hicho chumba mlichomo ili muone alichoongea kwa mawanda mapana.

Anyway, mimi ni nani mpaka niwapangia perspective spectrum?

I rest my case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…