Tujikumbushe. Wakati uchaguzi unakaribia, wakati wa kuomba kura za CCM, na hata kwenye mchakato wa katiba, magazeti karibu yote yalikuwa ni private. Kuna yake ya Kenya, yalikuwa kwa Serkali 3 kwa kusukuma ajenda ya Kenya katika ushindani wake na Tanzania wakijua njia pejee kuihujumu Tz ni kufuta Muungano au kugombanisha Bara na visiwani. Yalijya sera ya CCM kwa huyo yaluegemea Ukawa. Wakaja wale Maaskofu wa Ukawa wakataka nchi iitupe CCM, wakakwama kwa Askofu Pengo. Magazeti mengibe ya Kubenea na ya Mbowe yalikuwa Ukawa. Gazeti mengine ni ya Mtanzania na Raia na Raia Mwema haya ni ya EL alinunua kwa Rostam yalikuwa kwake alipokuwa CCM alipofukuzwa yakahqmia Ukawa pamoja naye. Daily News na Habari Leo ni ya serkali lakini tayari yalikuwa yanapigwa vita na magazeti mengi kwamba hayafai. Baki ya ITV na Nipashe na Guardian haya ni ya Kaskazini alikuwa jamaa akawa shrewed akataka kulipwa vinono, hakushabikia sana wakati huo lakini sympathy na neutrality vilikuwa Ukawa. Alipokatwa yakamfuata Chadema. Kwa hiyo wakati wa mchakato EL alikuwa 99% sapoti ya nagazeti na ikawa hivyo hadi mwisho. Fumbua na kufumbua ikaja Star TV, CCM ikapata kasi mpya nguvu mpya, hali ikabadilika 99%. Bado EL ana nguvu ya magazeti lakini hana livw TV, kwa sababu Mengi alishikilia msimamo wake wa kulipwa, si bure. Walilipa hela nyingi lakini hazikutosha, ukionfeza na ukubwa wa CCM na propaganda zilizotupa eti Fisadi Mkuu wa Mwembeyanga eti awe kiongozi wa mabadiliko!! Nchi hailuelewa. Walipomtoa Lipumba waislamu wakaja juu; walipomtoa Dr Slaa ndiyo wakajimaliza kwa vile Slaa tayari alikuwa kajijengea sifa kubwa. EL ghafula akakosa akilu, akakosa mdomo, Lowassa wa zamani mtoa hoja na mhamasishaji mkuu ajawa bubu; kumbe ni mgonjwa! Haya yote yasingetoka kwenye magazeti lakini kwenye TV yalikuwa kaa la moto kwake. Wakabaki kina Mbatiya na kadi ya unafiki na ysaluti (alipewa Ubunge na Kikwete) akaanza ukabila zaidi na ulutheri. Zikabaki sehemu za mjini zenye maduka mengi ya kabila la huko. EL was finished. Kwa hiyo Diallo kaokia CCM kaokia Taifa, kaokoa nchi yetu la sivyo leo tungekuwa na Waarabu kyle Zanzibar na ukabila mkubwa huku Bara. Pangechimbika. Mtu mwungine apate sifa ni Mengi na ITV zake kwa kubaki neutral, ila kwa kuwa alitaka alipwe kwanza aliheshimu misingi ya biashara. Lakini in the end kosa kubwa walilofanya Ukawa na kumtosa Dr Slaa na kutumbukia kwenye dhambi kubwa ya ukabila. Sioni dalilu za mtizamo huu kugeuka, labda safari hii Duni Haji agombee Urais na Tundulissu awe Makamo ; walau itakuwa badiliko kubwa kuachana na ukabila wawekwe Watanzania wa kawaida.