Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Sijawahi kukopeshwa na serikali masikini ya Tanzania .sio 'mishara' ni "mishahara". Huo mkopo wa chuo kikuu ndio uliutumia kujifunza ujinga? Aibu.
Sijalaumu mtu yeyote , nimeuliza tu alichokipata kwa upotoshaji wake wa makusudi uliopitiliza .Anzisha na wewe kituo cha kwako
Uwe unatangaza kile unachopenda
Unamlaumu Diallo ulimpa mtaji
Acha unafiki wewe dada
Hapo mnapokuwa wajinga, wapumbavu na malofa! UKAWA ipewe Nchi kwa uzoefu gani walionao katika kuongoza Nchi? Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Vyama ambavyo havina hata Wagombea na vinavyofanya mambo kwa ubabaishaji tu!! Makosa ya CCM hayawezi kuhalalisha udhaifu wa upinzani!Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .
Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.
Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?
Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Nitadanganywa mara elfu lakini siyo kwa Mgombea wa UKAWA! Mtu aliyetafuta Urais kwa nguvu kubwa hafai!Kwa binadamu yeyote ni lazima awe na aibu , hasa baada ya yale aliyoshiriki kuaminisha jamii kwamba chini ya mgombea wake yangefanikiwa lakini yakafeli vibaya sana ! Hakuna amani Mwanza .
Nani alitumia nguvu ndogo? Jibu lako liwe na uthibitisho tafadhali!Nitadanganywa mara elfu lakini siyo kwa Mgombea wa UKAWA! Mtu aliyetafuta Urais kwa nguvu kubwa hafai!
Wewe ni wa kuhurumiwa tu .Hapo mnapokuwa wajinga, wapumbavu na malofa! UKAWA ipewe Nchi kwa uzoefu gani walionao katika kuongoza Nchi? Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Vyama ambavyo havina hata Wagombea na vinavyofanya mambo kwa ubabaishaji tu!! Makosa ya CCM hayawezi kuhalalisha udhaifu wa upinzani!
Diallo amepata faida gani ?Nitadanganywa mara elfu lakini siyo kwa Mgombea wa UKAWA! Mtu aliyetafuta Urais kwa nguvu kubwa hafai!
Mbona hujaisema ITV ilivyo shabikia CDM ? Acha kutupotosha banaa !Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .
Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.
Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?
Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Sasa ni nafasi yako kuanzisha uzi kuhusiana na hili .Mbona hujaisema ITV ilivyo shabikia CDM ? Acha kutupotosha banaa !
Dah! Sahara Communication ilipewa ahadi hadharani kwamba itabebwa. Upendeleo wa wazi kabisa lakini kwa kuwa ulifanywa na waliozoeleka kufanya madudu watu hawakushangaa!!
Haha NA Serikali yenyewe imemtangazia mdeni yake ya nhcHuyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .
Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.
Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?
Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Kumdhalilisha kwa kumtangaza hadharani kwamba anadaiwa ilikuwa mshahara mkubwa sana wa uzandiki wake , hata kama baada ya hapo walimlipia .Kuna mambo mengine hayafanyiki hadharani jamani mbona jukwaa letu linapungua intelijensia? Hivi hujawai kusikia gharama za shughuli maalum? Utauliza zilikuwa za nini? Sina maana kapewa kwa staili hiyo ila napenda tu nikuelimishe
Sijawahi kukopeshwa na serikali masikini ya Tanzania .
Ni kama walivyokuwa watu wa kaskazini kwa kuangalia ITV pekee. Star Tv ilitimiza wajibu wake kwa kutuhabarisha tukae mbali na genge la watu waliokuwa hawataki kingine chochote zaidi ya madaraka. CDM kama vile Essau wa kwenye biblia walikuwa tayari kuuza uadilifu wao wa awali wa chama chao kwa fikira kwamba tajiri mpya angewapeleka ikulu. Kama Magufuli atashindwa kutimiza wajibu wake itakuwa ni juu yake lakini otherwise Star tv walifanya vizuri.Huyu jamaa ni iliwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .
Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.
Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?
Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Leo nae anaisoma namba. Tunaongea lugha moja sasa. Maana nae anadaiwa hatariHuyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .