Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Anzisha na wewe kituo cha kwako
Uwe unatangaza kile unachopenda
Unamlaumu Diallo ulimpa mtaji
Acha unafiki wewe dada
 
Anzisha na wewe kituo cha kwako
Uwe unatangaza kile unachopenda
Unamlaumu Diallo ulimpa mtaji
Acha unafiki wewe dada
Sijalaumu mtu yeyote , nimeuliza tu alichokipata kwa upotoshaji wake wa makusudi uliopitiliza .
 
Walimsamehe kodi halaf baadaye wakaanza kumfuatilia. Mwenyekiti hana siasa katika kazi lakini pia hana njozi ya kweli ya Tanzania ya viwanda!
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Hapo mnapokuwa wajinga, wapumbavu na malofa! UKAWA ipewe Nchi kwa uzoefu gani walionao katika kuongoza Nchi? Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Vyama ambavyo havina hata Wagombea na vinavyofanya mambo kwa ubabaishaji tu!! Makosa ya CCM hayawezi kuhalalisha udhaifu wa upinzani!
 
Kwa binadamu yeyote ni lazima awe na aibu , hasa baada ya yale aliyoshiriki kuaminisha jamii kwamba chini ya mgombea wake yangefanikiwa lakini yakafeli vibaya sana ! Hakuna amani Mwanza .
Nitadanganywa mara elfu lakini siyo kwa Mgombea wa UKAWA! Mtu aliyetafuta Urais kwa nguvu kubwa hafai!
 
Hapo mnapokuwa wajinga, wapumbavu na malofa! UKAWA ipewe Nchi kwa uzoefu gani walionao katika kuongoza Nchi? Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Vyama ambavyo havina hata Wagombea na vinavyofanya mambo kwa ubabaishaji tu!! Makosa ya CCM hayawezi kuhalalisha udhaifu wa upinzani!
Wewe ni wa kuhurumiwa tu .
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Mbona hujaisema ITV ilivyo shabikia CDM ? Acha kutupotosha banaa !
 
Dah! Sahara Communication ilipewa ahadi hadharani kwamba itabebwa. Upendeleo wa wazi kabisa lakini kwa kuwa ulifanywa na waliozoeleka kufanya madudu watu hawakushangaa!!

Kuna mambo mengine hayafanyiki hadharani jamani mbona jukwaa letu linapungua intelijensia? Hivi hujawai kusikia gharama za shughuli maalum? Utauliza zilikuwa za nini? Sina maana kapewa kwa staili hiyo ila napenda tu nikuelimishe
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Haha NA Serikali yenyewe imemtangazia mdeni yake ya nhc
 
Kuna mambo mengine hayafanyiki hadharani jamani mbona jukwaa letu linapungua intelijensia? Hivi hujawai kusikia gharama za shughuli maalum? Utauliza zilikuwa za nini? Sina maana kapewa kwa staili hiyo ila napenda tu nikuelimishe
Kumdhalilisha kwa kumtangaza hadharani kwamba anadaiwa ilikuwa mshahara mkubwa sana wa uzandiki wake , hata kama baada ya hapo walimlipia .
 
Huyu jamaa ni iliwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Ni kama walivyokuwa watu wa kaskazini kwa kuangalia ITV pekee. Star Tv ilitimiza wajibu wake kwa kutuhabarisha tukae mbali na genge la watu waliokuwa hawataki kingine chochote zaidi ya madaraka. CDM kama vile Essau wa kwenye biblia walikuwa tayari kuuza uadilifu wao wa awali wa chama chao kwa fikira kwamba tajiri mpya angewapeleka ikulu. Kama Magufuli atashindwa kutimiza wajibu wake itakuwa ni juu yake lakini otherwise Star tv walifanya vizuri.
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Leo nae anaisoma namba. Tunaongea lugha moja sasa. Maana nae anadaiwa hatari
 
Back
Top Bottom