Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Hawa wanaojiita wawekezaji wazawa kama Diallo wengi ni wababaishaji tu.Hawawalipi wafanyakazi wao mishahara,hawalipi kodi serikalini na wengi wamejificha kwenye usanii wa kwamba wao ni makada wa chama ili biashara zao zisiguswe.Kila siku huyu Diallo analia eti kuhama kwenda digital kulisababisha kuyumba kiuchumi na kushindwa kulipa kodi na kuwalipa wafanyakazi.Swali la kujiuliza ni kwa nini hiyo hasara aipate yeye tu mbona media nyingine kama ITV, channel ten nao walihamia digital lkn hatusikii wakishindwa kulipa kodi?Tatizo kubwa kwa Diallo ni management.Yeye ndo mhasibu,HR,mhariri,mhandisi wa ujenzi nk kwa maana hafuati ushauri wa watu wenye taaluma aliowaajiri.Aache kulialia awaachie wataalamu waendeshe media asubiri faida.
 
Kwa akili yako ndogo uliamini Lowassa ataishinda CCM ? Kuna chama gani zaidi y'a CCM kinachofaa kuongoza Nchi. Nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa kuwapa wahuni waingie Ikulu !! NEVER !!
 
Kama kupotosha ndio kumkampenia magu dhidi ya fisadi basi dialo anastahili kupewa nishani maalum kabisa!

Sent from my HUAWEI G510-0200 using JamiiForums mobile app
 
Muhimu alipe kodi halafu aendelee kuitumikia ccm. Hakuna upendeleo. Ni wakati sasa wafanyabiashara walitambue hilo.
 
Hujui unachoandika mkuu Salary Slip. Uliza uelimishwe maana kuuliza sio ujinga.
Wewe unaweza kumuelimisha salary slip? Sijawahi kuona ziro brain kama wewe umuelimishe masters kama salary slip


Swissme
 
Ameambulia kudaiwa kodi ambazo alifikiri Magu atamkingia kifua asilipe.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…