Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
FAIDA NI KWAMBA ALIZUIA MAFISADI WASIENDE IKULU. FULL STOPPamoja na uongo wako mrefu sana uliojaa mapovu mengi mithili ya mgonjwa wa kifafa , sasa rudi kwenye hoja , Dunia inaomba kujua FAIDA ALIZOPATA DIALLO KWA UONGO ULE WA KARNE ALIOUFANYA .
BUNGE LILIMTAKA AJIPIME KAMA KWA KUHUSIKA KWAKE NA RICHMOND ANAFAA KUENDELEA KUWA PM. AKONA ATAAIBIKA AKIONDOLEWA KWA AZIMIO LA BUNGE. AKAACHIA NGAZI. DR SLAA ALIFUKUZWA NA CHADEMA WALIPOINGIA KWENYE UNAFIKI WA KUMLETA MTU WALIYEMTANGAZA FISADI AGOMBEE UCHAGUZI KUPITIA UKAWA. MWENYE AKILI AKAJUA AKUFUKUZAE HAKUAMBII TOKA. AKAWAACHA NDUMAKUWILI MUENDELEELini lowasa alifukuzwa na bunge??? Yaani hata facts za unayemuita fisadi huzijui haya bado tena unaendeleza ujinga wako eti slaa katimuliwa una barua inayoonyesha slaa kusimamishwa kazi???? Hivi unapata nini unavyoleta uongo hapa yaani hta historia ya siasa za Tanzania huzijui no wonder upo CCM maana kwa reasoning hii naelewa kwanni Tanzania ni kati ya nchi 30 maskini zaidi duniani
Shame on u maccm......
Mpuuzi wahedi!ccm ni msitu mnene ni maficho ya wahalifu na wahuni wote nchi hii.
Sasa nani hapo alitimuliwa???? Hayo ya kutimuliwa ndio nataka uthibitishe sio hearsay eti "aliona angedhalilishwa...." kana kwamb we mke wake alikwambia chumbani. Haya bado unadanganya te cjui eti chadema walimleta lowasa eti slaaa akasusa wakati hta slaa alikiri yye ndio alihusika kumleta lowasa chadema kupitia mshenga gwajima ssa hayo ya dr slaa kutimuliwa yanatoka wapi?? Narudia tena best ya dr slaa mshenga gwajima na john mnyika walisema wazi kuwa aliyesababisha slaa aondoke ni mke wake sasa www ni nani umjue slaa kuliko mnyika na mshenga gwajima???? Na facts waliweka??BUNGE LILIMTAKA AJIPIME KAMA KWA KUHUSIKA KWAKE NA RICHMOND ANAFAA KUENDELEA KUWA PM. AKONA ATAAIBIKA AKIONDOLEWA KWA AZIMIO LA BUNGE. AKAACHIA NGAZI. DR SLAA ALIFUKUZWA NA CHADEMA WALIPOINGIA KWENYE UNAFIKI WA KUMLETA MTU WALIYEMTANGAZA FISADI AGOMBEE UCHAGUZI KUPITIA UKAWA. MWENYE AKILI AKAJUA AKUFUKUZAE HAKUAMBII TOKA. AKAWAACHA NDUMAKUWILI MUENDELEE
Mpuuzi ni wewe uliyeulizwa uweke mafanikio ya ccm afu umeshindwa umebaki unatetea upuuzi wa lichama lako bila factsMpuuzi wahedi!
Ha! Ha! Ha!Sasa nani hapo alitimuliwa???? Hayo ya kutimuliwa ndio nataka uthibitishe sio hearsay eti "aliona angedhalilishwa...." kana kwamb we mke wake alikwambia chumbani. Haya bado unadanganya te cjui eti chadema walimleta lowasa eti slaaa akasusa wakati hta slaa alikiri yye ndio alihusika kumleta lowasa chadema kupitia mshenga gwajima ssa hayo ya dr slaa kutimuliwa yanatoka wapi?? Narudia tena best ya dr slaa mshenga gwajima na john mnyika walisema wazi kuwa aliyesababisha slaa aondoke ni mke wake sasa www ni nani umjue slaa kuliko mnyika na mshenga gwajima???? Na facts waliweka??
Shame on u empty mind
Kwahiyo alizuia fisadi wakati yeye naye ni fisadi?? Ina maana wakati anampigia kampeni magufuli alikuwa amelipa kodi zake zote??? Kma je deni lilikuwepo toka enzi hizo za kampeni ni kweli tukisema ccm inafadhiliwa na mafisadi????FAIDA NI KWAMBA ALIZUIA MAFISADI WASIENDE IKULU. FULL STOP
Muuulize baba yako atakuambia.Mpuuzi ni wewe uliyeulizwa uweke mafanikio ya ccm afu umeshindwa umebaki unatetea upuuzi wa lichama lako bila facts
Kwa akili yako ndogo Unataka kusema alistaafu?Sasa nani hapo alitimuliwa???? Hayo ya kutimuliwa ndio nataka uthibitishe sio hearsay eti "aliona angedhalilishwa...." kana kwamb we mke wake alikwambia chumbani. Haya bado unadanganya te cjui eti chadema walimleta lowasa eti slaaa akasusa wakati hta slaa alikiri yye ndio alihusika kumleta lowasa chadema kupitia mshenga gwajima ssa hayo ya dr slaa kutimuliwa yanatoka wapi?? Narudia tena best ya dr slaa mshenga gwajima na john mnyika walisema wazi kuwa aliyesababisha slaa aondoke ni mke wake sasa www ni nani umjue slaa kuliko mnyika na mshenga gwajima???? Na facts waliweka??
Shame on u empty mind
Sina ndugu wa direct ccm mimi wote nlishawapaga elimu ya uraia na wote walipiga kura kwa mara ya kwanza 2015 ili kuifuta ccm hivyo wote hao wanaamini katika mabadiliko nje ya CCM!! so sina baba anayeshabikia lichama chakavu lenuMuuulize baba yako atakuambia.
Gangonine: lowasa alifukuzwaKwa akili yako ndogo Unataka kusema alistaafu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anaisoma namba kama machinga wa Mwanza.
Nyerere alipewa nchi kwa uzoefu alioutoa wapi!?!? Unapokuwa baba wa familia uzoefu unautoa wapi!?!?Hapo mnapokuwa wajinga, wapumbavu na malofa! UKAWA ipewe Nchi kwa uzoefu gani walionao katika kuongoza Nchi? Nchi haiwezi kufanyiwa majaribio kwa kuwapa Vyama ambavyo havina hata Wagombea na vinavyofanya mambo kwa ubabaishaji tu!! Makosa ya CCM hayawezi kuhalalisha udhaifu wa upinzani!
ITV haikutangaza kampeni za magufuli!?!!? Dhibitisha plzMbona hujaisema ITV ilivyo shabikia CDM ? Acha kutupotosha banaa !
Hayo malengo unesema wewe ila jamaa yeye alitumia ccm kama kichaka cha kujifichia wahujumu nchi kama ilivyokuwa imezoeleka!!Ni kama walivyokuwa watu wa kaskazini kwa kuangalia ITV pekee. Star Tv ilitimiza wajibu wake kwa kutuhabarisha tukae mbali na genge la watu waliokuwa hawataki kingine chochote zaidi ya madaraka. CDM kama vile Essau wa kwenye biblia walikuwa tayari kuuza uadilifu wao wa awali wa chama chao kwa fikira kwamba tajiri mpya angewapeleka ikulu. Kama Magufuli atashindwa kutimiza wajibu wake itakuwa ni juu yake lakini otherwise Star tv walifanya vizuri.
Hoja mufu kabsa kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa na vyombo Vya habari katika nyanja kuhabarisha mienendo ya serikali na mambo mengine yafananayo!!Tungejitahidi kuelekeza akili na nguvu zetu ktk kujenga nchi pia kutafuta maendeleo BINAFSI, mbona uchaguzi umeshapita aliyepata kapata ,tukiendelea kuhoji nani kapata nini ,tutaishia kupata MAONO,hatimaye tutaenda KUTUNZWA NA MAKAKA WAZOEFU WA KISONGO!
Kang'amz chake ni kipi nisije nikakinunua bila kujua!!Na kweli anabebwa maana king'amuzi chake usipolipa hupati channel yoyote. Kwa maana hiyo, hata tbc ambayo inaendeshwa kwa kodi zetu lazima uilipie ndiyo uione ndani ya Continental!!!
Kundi la 90% exactly!!Kuna wakati mtu anajisikia furaha kutoa kile alichonacho kwa ajili ya kufurahisha kundi Fulani la watu kama afanyavyo Mengi kwa walemavu na makundi mengine (altruistic motive). Ni sawa na watoa damu hawategemei malipo
Lakini kuna watu wanatoa kwa lengo la kuonekana na watawala kwamba Fulani anajitolea ingawa wanapenda kuonekana lakini hawahitaji chochote kutoka kwa watawala.
Kuna watu wanajitolea kwa sababu siku za nyuma kuna watu walijitolea kumsaidia hivyo kama sehemu ya kulipa fadhila nae hujitolea kwa wengine
Kuna watu wanajitolea kwa lengo la kunufaika na kile walichokitoa na huwa wanataka kikubwa kuliko walichotoa (lobbyist) na kundi hili ni kubwa kuliko hayo niliyotajwa hapo juu. Nenda bar wanaume 90% akimnunulia mhudumu... atataka refund in kind.
Mwisho kuna kundi linataka kujitolea ili asifiwe, atukuzwe aonekane na hawa hupenda kutoa na kulipia hata airtime waonekane na watu wawasifie.
Je waliosaidia CCM kwenye uchaguzi uliopita wapo Kundi gani kati ya hayo? Mzee wetu yupo Kundi gani?