Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingeomba msamaha,angebakia kuwa kasema ukweliKweli mwanzo alisema wamemtekenya kidogo kabadili maamuzi
Fact kabisa mkuuNi kweli anazeeka vibaya,na zaidi ya hapo ni frustrations za madeni
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Inatakiwa Watatzania kumpongeza Diallo kwa kutuanikia ukweli ..... at least kuna watu roho zao zitapona baada ya kujua tatizo lilikuwa ni nini!!Ukweli Usemwe Hata Waliokuwa karibu nae wanaweza Kutestify. Kama Ninyi Kwa Ninyi "CCM Kudakindaki"Mnakubali Ubabe na Ukatiri Mlipitia Kipindi Hicho,Je wale Wasiokuwana Vinasaba na CCM "Wapinzani" si Mwache nao Wafunguke Jinsi walivyoumizwa na Utawala Ule.
dikteta alikuwa kichaa!!Ila kaongea ukweli mtupu, hata Kama unauma, lakini nduo ukweli wenyewe
Asichoelewa huyu ni kuwa awamu hii hakuna teuzi za kimalaya malaya kama enzi za yule dhalim mwendazakemakala ndefu sana na ya kujipendekeza, acha watu watoe maoni yao.
Tumia muda wako mwingi kufanya kazi ili kujiingizia kipato halali badala ya kujipendekeza.
Anogopa kutekwaKweli alikua kichaa lakini Diallo asimamie msimamo sasa asibadili mawazo.
Ulikuwa hujuwi....mbona pale Mwanza watu wa makamo wanalijuwa hili?Mpya!!!
Mkuu tujuze kwa uzuri
Mbona zipo Nikki alibishana kidogo na kigogo teuzi ikamukumba.Asichielewa huyu ni kuwa awamu hii hakuna teuzi za kimalaya malaya kama enzi za yule dhalim mwendazake
Kweli kabisa eti mtu alikuwa kwenye nafasi kubwa kama hiyo hata hakuiachia leo hii anasema hivyo.Hawa wakina Diallo,ndio Magufuli alisema.Unaweza kumbeba mgongoni na kumvusha MTO.Ukivuka MTO tu.Anasema limgongo lako linanuka.Huyu Diallo kama aliona Magufuli hamtendei wema.Kwann hakujiuzuru kwa kutumia hata unafiki?Hawa ni wanafiki mbwa .Magufuli amewasaidia ,sasa wanalipa ubaya.RIP baba Magufuli.Wanafiki wote watahaibika.
Hata huo msamaha alioomba ni kichekesho tu. Kwamba amekosea kwa kutoa mfano uliopita! kuwa na refference ya wakati uliopita, uliopo ama ujao si kosa, kinachoangaliwa ni content ya ulichokizungumza.
Sijui mh diallo aliwaza nini. alitakiwa kujua kwamba ndani ya CCM kunawatu waliomchukia magufuli lakini si wengi katika kiwango ambacho yeye alidhani angepata watu wakumuunga mkono ktk hoja zake hizo.