Anthony Diallo anazeeka vibaya

Inatakiwa Watatzania kumpongeza Diallo kwa kutuanikia ukweli ..... at least kuna watu roho zao zitapona baada ya kujua tatizo lilikuwa ni nini!!
 
stori ndeeefu ....jibu swali ...jamaa alikuwa kichaa au siyo kichaa?
 
makala ndefu sana na ya kujipendekeza, acha watu watoe maoni yao.
Tumia muda wako mwingi kufanya kazi ili kujiingizia kipato halali badala ya kujipendekeza.
Asichoelewa huyu ni kuwa awamu hii hakuna teuzi za kimalaya malaya kama enzi za yule dhalim mwendazake
 
Hawa wakina Diallo,ndio Magufuli alisema.Unaweza kumbeba mgongoni na kumvusha MTO.Ukivuka MTO tu.Anasema limgongo lako linanuka.Huyu Diallo kama aliona Magufuli hamtendei wema.Kwann hakujiuzuru kwa kutumia hata unafiki?Hawa ni wanafiki mbwa .Magufuli amewasaidia ,sasa wanalipa ubaya.RIP baba Magufuli.Wanafiki wote watahaibika.
 
Hata huo msamaha alioomba ni kichekesho tu. Kwamba amekosea kwa kutoa mfano uliopita! kuwa na refference ya wakati uliopita, uliopo ama ujao si kosa, kinachoangaliwa ni content ya ulichokizungumza.

Sijui mh diallo aliwaza nini. alitakiwa kujua kwamba ndani ya CCM kunawatu waliomchukia magufuli lakini si wengi katika kiwango ambacho yeye alidhani angepata watu wakumuunga mkono ktk hoja zake hizo.
 
Kweli kabisa eti mtu alikuwa kwenye nafasi kubwa kama hiyo hata hakuiachia leo hii anasema hivyo.
Shukurani ya punda ni mateke
~wahenga
 

Sidhani kama hakujua hilo, yule ni mtu mzima aliamua tu kusema ukweli anao ujua, kama wewe unavyosema hapa. Ni haki yake... na kuna ahadi za Mwana TANU/CCM zinasema kuhusu kusema ukweli daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…