Anthony Diallo anazeeka vibaya

Eti Kenani ana uthubutu.
Hata ujinga ni uthubutu?
Wapi na wapi UVCCM na Mkiti Mkoa.
Utamaduni wetu hauko hivyo hata kama mtu amekosea.

Waliotakiwa kulaani niwenyeviti wa ccm wastaafu,kwa vigezo.au katibu mkuu wa ccm
 
Fact kabisa mkuu
Mimi namfahamu diallo personally,na naelewa struggles zake sana,naelewa vizuri alivyopambana kusoma mpaka akafikia elimu hiyo ingawa kuna watu wanadhani eti alifoji vyeti,lakini jamaa ni arrogant sana,hajali wafanyakazi wake na ni mharibufu sana wa raslimali zake,amezaa sana na wanawake wengi mno na mtu mjivuni sana
Sasa kaharibu sana media industry yake na kwa sasa anajenga kiwanda cha bia na maji ya kunywa hapa mwanza,kwa upande wa siasa alikuwa hapatani na jiwe kabisa,sasa kwakuwa yupo kwenye political oblivion,akadhani ni bora kumsema jiwe,kapotea kabisa kuomba radhi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wa kumuunga mkono wapo wengi ila wameamua kukaa kimya
 
Dialo apumuzike salama.

Amefanya fyongo mno.

Lazima kikombe akinywee.. TV na radio zake hatufuatilii tena.
 

Kama hamjamuelewa huyu mzee sio dhambi mnahitaji kukuwa kwanza maana aliongea kwa uzoefu wake na sio hisia za kitoto na kishabiki. Kijana wa miaka 22 anafikiri anajua kila kitu lakini akifika 40 anagundua alikuwa hajui kitu
 
We mtoto huna akili kabisa.

Ni vichaa wenzio tu wanaweza kusoma huu upuuzi uliojaza kwenye gazeti lako. Mimi nimesoma hline na para ya mwisho tu.

Diallo sio size yako. Alichosema ndicho ambacho wanaCCM wenye akili wanajua na kuamini. Ni ukweli mchungu. Makosa yalifanyika kwenye uteuzi.
 
Baada ya kisema ukweli ndiyo kazeeka ghafla...

Najua leo akisema Watanzania hawahitaji katiba mpya kwa sasa ghafla atageuka kijana..tena mzalendo.

Tanzania imejaa wanafiki ambao ndiyo wanalifanya taifa hiki kuendelea kuwa maskini.
 
Uzoefu unaonesha huyu mzee ni aibu kwa taifa.
Kuna jamaa mmoja anakaa Kilimahewa, Ilemela hapa Mwanza. Huyu jamaa aliwahi kufanya kazi za kiutawala Sahara Media Group. Tangu aache kazi hapo amekuwa akifuga mbwa na kumuita Diallo. Sikuwahi kujua kwanini!!!
 
Asante kwa mahubiri mazuri.
Bujibuji kusanya sadaka mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…