Anthony Diallo anazeeka vibaya

makala ndefu sana na ya kujipendekeza, acha watu watoe maoni yao.
Tumia muda wako mwingi kufanya kazi ili kujiingizia kipato halali badala ya kujipendekeza.
Halafu alivyo mpuuzi, eti Diallo alishindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara! Sasa, hizo pesa angepata wapi wakati CCM wameshindwa kumlipa malipo yake?
Na pia alisema uchaguzi ule, ulimuathiri sana kibiashara. Watu wengi wakawa hawataki kutangaza kwenye vyombo vyake, kwa sababu ni vyombo vya CCM. Kwa hiyo utaona CCM hiyo ilimuathiri sana kiuchumi.
 
Asante mkuu kumbe mleta mada ni mpuuzi hata sikujua.
Asante kwa taarifa
 
Ongea sana lakini ukweli unauma! DIALLO kafunguka mwache aseme atakacho maana ndiyo haki yake ya kikatiba! Ukinuna mfufue Magufuri ili ampeleke mahakamani. Huko nyuma niliwahi kusikia tatizo hili la Magufuri toka kwa mkubwa wangu wa kazi wakati yupo naye JKT, na baadaye walikutana tena akiwa kwenye jengo lenye muundo wa samaki akiwa waziri wa mifugo na uvuvi sikuamini!, na bado siamini kama ni kweli wacha Diallo aongee atakacho enzi ya tawala ya mkono wa chuma umeisha
 
🙏🙏🙏 Yupo sahihi ila na yeye ndio walewale tu.
 
Makala yako ni ndeeefu sana
 

Huyu Kenan wako aliambulia kichapo cha Sabaya hana lolote.
 
Mavi tupu
 
Dialo kaupiga mwingi sana,picha hii inajielezea tatizo aliokua nalo meko...haibadilishi kua alikua na file mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…