ni fahari kwao kuwasilimisha watu maarufu. Ni kama mashindano flani hivi. Pia wamejaribu sana kwa Usain bolt kawachomolea. Wakamuomba basi akishinda asujudu hili kuwafurahisha 2012 Olympic London aliposhinda alisujudu na kuamka nakufanya alama ya msalaba ya dini yakehivi akishaslimu inawasaidia nn haswa?? kwahy ht tyson walimconvice hao hao au
Pound milioni 16.Hvi mshindi wa pambano kapata kiasi gani cha pesa?
Haahahha daah ubarikiwe kwa hii statementHivi wale kina matumla na wenzie utaskia wameshinda ubingwa wa dunia... Dunia ipi eti? Au dunia tambala bovu[emoji15]
Fury sio mkali kivile anaweza chapwa na AJ, alizichapa na Klitschko akasinda kwa UD while AJ kamshinda kwa KO.Tyson Fury ana skillz sana.Fury vs AJ patachimbika.
Ila pia kuna Deontay Wilder.Naye yupo vzuri.
Hivi wale kina matumla na wenzie utaskia wameshinda ubingwa wa dunia... Dunia ipi eti? Au dunia tambala bovu[emoji15]
Nimefurahi kijana mwenzangu,Muafrica mwenzangu umeshinda pambano "gumu" kwani huyo mzungu tunamjua,pambano ambalo kila mtu na hata sisi weusi wenzio tulijua unakalishwa hasa pale ulipolegezwa Na makombora mazito ya yule mzungu.
Kiufupi unajua kuzichapa ila ombi langu kama unajua kiswahili Mimi ndugu yako katika "Ngozi" naomba hebu Nenda kalifanyie kazi swala la "pumzi" usije ukatutia aibu ..pumzi huna kabisa Mkuu.
Ww mwenyewe unajua kwamba sifa yetu africa imebaki ktk ngumi tu kutengeneza "missiles" hatujajaaliwa bado.Yaani pambano la Leo kama ungekutana Na mtu kama Tyson, Haya maneno yako "Can I go home" ungeenda kuyatamkia hospitalini St Thomas.
Stamina bado ni changamoto sana kwa Joshua.Pumzi yake inakata mapema.Kumbukeni Wradimil keshakuwa mzee ni 41 now. Joshua only 27 . Kiuanamichezo Joshua alitakiwa amkalishe mapema sana. Kwamtazamo wangu Joshua ana mengi sana ya ku improve na muda anao bado. Hongera zake.
Inaitwa chapa kidevu ile,nilikua nacheki pambano huku natetemeka, maana ilikua kama el classico flani hivi. Sitaisahau round ya 5 maana Joshua alishapotea.Sijawahi kufurahia pambano la heavy weight kama leo toka enzi za kina Tyson, Lewis. Dogo anajua sana, ana moyo na ata improve sana kwani hili ni pambano lake la 19. Ile uppercut daah!!!
Ah...mambo ya dini hya ya nn tena hmu? Tumejumuika pamoja hp kumpongeza kijana mwenzetu Anthony Joshua ni muislam usichachawe na jina ni km Paul Pogba tu so what?hivi akishaslimu inawasaidia nn haswa?? kwahy ht tyson walimconvice hao hao au
Mi nakereka sana na watu mnaoleta udini udini hp tunapeleka peleka muda wko walofurahi na wpo walohuzunika pia mambo ya dini ya nn tena? Anthony Joshua ni muislam najua utabisha sababu ya jina Paul Pogba pia muislam hya umefurahi eeeee!Huyo mwingereza mwenye asili ya nigeria hataree. Naskia waarabu wanamfuata fuata na kumuhonga asilimu lakini jamaa kawachomolea
Jamani lazima tukumbuke ile ni heavyweight.Hata Mimi na majaji wengine tumeona hivo ila mchizi sijui kawaje round 11, yaani kapigwa kama kapuliziwa dawa,. Yaani kammudu round zote ila tu ya 11, afu dogo naye nafanya kama marehemu Muhammad Alli ,michezo ya kumtegea opponent
Hawana tofauti na mapropesa wetu....wote wanakimbilia siasa badala ya kuzalisha vitu muhimu kwa taifa lao. Hata bajaj tu hawawezi.Hivi wale kina matumla na wenzie utaskia wameshinda ubingwa wa dunia... Dunia ipi eti? Au dunia tambala bovu[emoji15]
Haunishindi mie. Nilikua natetemeka mbaya....round ya 11 nataka kusimama nishangilie nikajikuta kumbe nilipanda juu ya kabati, hata sijui nilifikaje Ikabidi niitishe stuli na kiti ili niweze kushuka. Waifu ananishangaa nilipanda kutafuta nini na nilipandaje maana nilikua peke yangu naangalia na si kwamba watu walijaa wakaniziba nisione screen.Inaitwa chapa kidevu ile,nilikua nacheki pambano huku natetemeka, maana ilikua kama el classico flani hivi. Sitaisahau round ya 5 maana Joshua alishapotea.
sio Roy Jones Jr huyu.kitambo nikiw dogo kuna pambano nililifumania liko mwishoni ila nachokumbuka yule boxa alikuwa ni black alikuwa na kasi ya ajabu halafu mikono yake ilikuwa muda wote iko chini,yani haweki guard ila anatia ngumi mbaya,,sikuwah kumfahamu asee,mwenye kumjua tafadhali