issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
TV I wako live mapambano ya utanguliIizi now
Crikfree.scKm DSTV hawaonyesh naomba uweke link ya live streaming ukiipata
Upo dikoda gani mkuu?
Nadhani hawakudanganya kwa vile matangazo yao yameanza kwa mapambano yanayotangulia pambano lenyewe. Tuwapongeze tuYap Tv 1 wameanza kurusha walidanganya kwenye mda tu
chanel gani mkuuMuda huu ila sasa ni mapambano ya utangulizi
TV 1chanel gani mkuu
tv 1 mkuuAzam gani wamesema...
TV1 iko kwenye king'amuzi cha AzamAngalieni TV 1 wataonesha
Hamna mrusi hapo broonaona kwa mbali vita ya western and eastern blocks...
UK vs RUSSIA....mrusi atashinda...