Yaani Jf Leo nimeipenda. Dstv yangu tupa kule. Nikakivuta kingamuz cha star times vumbi kibao nikakifuta nikaunganisha. Mubbassharaaa.Shukrani sana kwa huu Uzi yaani ilikuwa nilale asee, nko mubashara sasa hivi
Mbona kwenye azam decoder kuna tvi nenda channel 119 utapata mubashara kabisaAsante maana nlikata tamaa siioni maana nna Azam dish
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unawezaje kulala kwa pambano kama hili? Mwenzio nimeweka na kupuliziwa dawa za usingizi na usingizi umekataa. Wameniwekea full kaput kabisa na usingizi umegoma.
It is a fight worth to watch, no holding it is punch to punch all the way!Kwa sasa ni pambano la utanguzi uzito wa feather kati ya Scotty Quiggy of UK vs Simeon , Hungarian boxer!
It is a fight worth to watch, no holding it is punch to punch all the way!
Scotty Quiggy win the feather weight title by unanimous decision against Hungarian fighter Simeon.
Sure dude, this is one of the incredible fights I ever watchedIt is a fight worth to watch, no holding it is punch to punch all the way!
Sawa mwambojoke, karata yako kwa nani?Pambano karibia inaanza
Wekeni updates wengine tupo eneo korofiRio Ferdinand Na Arnold Schwarzenegger ndani