Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Kwa sasa ni pambano la utanguzi uzito wa feather kati ya Scotty Quiggy of UK vs Simeon , Hungarian boxer!
 
Unawezaje kulala kwa pambano kama hili? Mwenzio nimeweka na kupuliziwa dawa za usingizi na usingizi umekataa. Wameniwekea full kaput kabisa na usingizi umegoma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usingizi hauwezi Kuja aisee...mpaka tujue mbabe!!
 
Scotty Quiggy win the feather weight title by unanimous decision against Hungarian fighter Simeon.
 
Dah Wembley umejaa aisee, watu wanajua kutengeneza pesa.
 
Back
Top Bottom