Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Yaani Jf Leo nimeipenda. Dstv yangu tupa kule. Nikakivuta kingamuz cha star times vumbi kibao nikakifuta nikaunganisha. Mubbassharaaa.Shukrani sana kwa huu Uzi yaani ilikuwa nilale asee, nko mubashara sasa hivi